Mkuu usifananishe swaga za wanawake wa kijijini kwako na mjini.Wanawake wa dar hawana sura halisi....watoeni kabisa hapo
Hapa utafiti wangu ulilenga kuangalia sura nzuri tu.mambo kama tabia ya mtu,chura, na shape sikuyajumlisha.
Na haya ndio matokeo ya utafiti wangu:
1.Arusha
2.Manyara
3.singida
4.Tanga
5.Tabora
6.kilimanjaro
7.Pemba
8.unguja
9.Dodoma
10.Dar es salaam.
Asanteni
Mkuu usifananishe swaga za wanawake wa kijijini kwako na mjini.
Hao wa kijijini hata uwarembe bado sura zao ngumu.
Mabinti wa Dar kiasili ni wazuri na wako soft hawafanyi kazi ngumu,ukiongeza na kujiremba acha kabisa wanashindana na wale Kimarekani kabisaa.
seriously!? unafananisha mabinti wa Dar na wa kijijni? labda una tabia ya kuopoa ma house girl mkuu.Mabinti wa Dar ni lose balls.....kwa bongo hii hakuna wanawake uchwara na mazezeta kama wanawake wa Dar. Ukitaka kujuta kupenda tembea na demu wa Dar....yaani hata awe na miaka 30 bado hawajitambui tu.
TrueHapa utafiti wangu ulilenga kuangalia sura nzuri tu.mambo kama tabia ya mtu,chura, na shape sikuyajumlisha.
Na haya ndio matokeo ya utafiti wangu:
1.Arusha
2.Manyara
3.singida
4.Tanga
5.Tabora
6.kilimanjaro
7.Pemba
8.unguja
9.Dodoma
10.Dar es salaam.
Asanteni
SwadktaKas kazi hoiyeeeerrrrr....
Na usingeiweka Rchuga ningeandamana
Hehehe kwn hamumjui aliyewaroga na nado anawaroga hahhaHivi sisi kanda ta ziwa ni nani alituloga?
Una maanishaa nini man.[emoji15] [emoji15]Arusha aisee!! Ukitafuta Mke mwenye sura Nzuri arusha utakuwa unatafuta maji baharini! Unaweza usioe!
Wapo wa dar [emoji3] [emoji3] [emoji3]Sidhani kama kuna mwanaume mrembo labda kama ni choko
Taja kwa maeneo tu kama hvHapa utafiti wangu ulilenga kuangalia sura nzuri tu.mambo kama tabia ya mtu,chura, na shape sikuyajumlisha.
Na haya ndio matokeo ya utafiti wangu:
1.Arusha
2.Manyara
3.singida
4.Tanga
5.Tabora
6.kilimanjaro
7.Pemba
8.unguja
9.Dodoma
10.Dar es salaam.
Asanteni
Hapa utafiti wangu ulilenga kuangalia sura nzuri tu.mambo kama tabia ya mtu,chura, na shape sikuyajumlisha.
Na haya ndio matokeo ya utafiti wangu:
1.Arusha
2.Manyara
3.singida
4.Tanga
5.Tabora
6.kilimanjaro
7.Pemba
8.unguja
9.Dodoma
10.Dar es salaam.
Asanteni
Unaachaje warombo kule... nlienda kule kidogo nisahau kilichonipelekaKilimanjaro ni number moja hasa Marangu na Machame...
Mbona kama umepanikiWw utafiti wako ni wa kukulupuka hauna ukweli wowote ipo sababu ya kukumbia hivyo, 1.mwanza haipo. Kwa sababu huwezi kuzungumzia mamanzi wakali hapa Tanzania, ukasita kuzungumzia mwanza, 2.mara hasa tarime, umeshindwa kuizungumzia,kisa lambda umefikilia kwamba, sifa ya mkoa wa Mara ni ya watu watundu kwa hiyo hata umeshindwa kuwa sifa yao ya urembo, 3.we mtafiti gani huna history background ya mikoa inayo toa warembo, mfano mkoa wa arusha una history ya kutoa wasicha wakali katika mashindano ya warembo, hivyo bac mkoa huu unawarembo kibao hapo umebugi, pia, nne, utafiti wako hauna masilahi yoyote kiuchumi, kwanza umebugi, sita yawezekana, mikoa hiyo yote unamichepuko ndo unikusumbua hapa unajiongezea Kiki, wa bongo kwa michepuko mnadata na kupagawa na hata unaweza kuuza nyumba, na kuandika vitu kama Hivi ambavyo, Jamii hainufaiki, Kwa hiyo mm ningekuwa nimekutuma ww ukaja na report kama hii, nisinge ipokea na tena ungelikuwa a researcher ningeomba usimamishwe kazi Mara moja na wakuchunguze.