Utafiti: Top 10 ya mikoa yenye wanawake wenye sura nzuri

Utafiti: Top 10 ya mikoa yenye wanawake wenye sura nzuri

Wanawake wa dar hawana sura halisi....watoeni kabisa hapo
Mkuu usifananishe swaga za wanawake wa kijijini kwako na mjini.
Hao wa kijijini hata uwarembe bado sura zao ngumu.
Mabinti wa Dar kiasili ni wazuri na wako soft hawafanyi kazi ngumu,ukiongeza na kujiremba acha kabisa wanashindana na wale Kimarekani kabisaa.
 
Hapa utafiti wangu ulilenga kuangalia sura nzuri tu.mambo kama tabia ya mtu,chura, na shape sikuyajumlisha.
Na haya ndio matokeo ya utafiti wangu:
1.Arusha
2.Manyara
3.singida
4.Tanga
5.Tabora
6.kilimanjaro
7.Pemba
8.unguja
9.Dodoma
10.Dar es salaam.
Asanteni

Katika 6 hapo ilibidi uweke Mtwara, na kwenye 2 ilibidi uweke Lindi. Penye 8 ilibidi uweke Pwani.
 
Mkuu usifananishe swaga za wanawake wa kijijini kwako na mjini.
Hao wa kijijini hata uwarembe bado sura zao ngumu.
Mabinti wa Dar kiasili ni wazuri na wako soft hawafanyi kazi ngumu,ukiongeza na kujiremba acha kabisa wanashindana na wale Kimarekani kabisaa.

Mabinti wa Dar ni lose balls.....kwa bongo hii hakuna wanawake uchwara na mazezeta kama wanawake wa Dar. Ukitaka kujuta kupenda tembea na demu wa Dar....yaani hata awe na miaka 30 bado hawajitambui tu.
 
seriously!? unafananisha mabinti wa Dar na wa kijijni? labda una tabia ya kuopoa ma house girl mkuu.
 
Hapa utafiti wangu ulilenga kuangalia sura nzuri tu.mambo kama tabia ya mtu,chura, na shape sikuyajumlisha.
Na haya ndio matokeo ya utafiti wangu:
1.Arusha
2.Manyara
3.singida
4.Tanga
5.Tabora
6.kilimanjaro
7.Pemba
8.unguja
9.Dodoma
10.Dar es salaam.
Asanteni
True
 
Toa dar weka bukoba ..wanawake wengi wa dar ni wakuja ..bukoba kuna warembo ni balaa
 
Hapa utafiti wangu ulilenga kuangalia sura nzuri tu.mambo kama tabia ya mtu,chura, na shape sikuyajumlisha.
Na haya ndio matokeo ya utafiti wangu:
1.Arusha
2.Manyara
3.singida
4.Tanga
5.Tabora
6.kilimanjaro
7.Pemba
8.unguja
9.Dodoma
10.Dar es salaam.
Asanteni
Taja kwa maeneo tu kama hv
1.KARATU
2.SINGIDA
3.KONDOA
Kwisha
 
Kigoma hakuna. Sikubaliani na wewe. Weka vigezo ulivyotumia maana inaonekana weupe ndio kigezo kikubwa umetumia. Huku ni blaka wote
 
Kila kitu kizuri kipo dar.....ukitaka kujua hilo angalia km mbunge wako upo nae huko porini....anakuja dar kufuata vitu vzr iwe nyumba,mume/mke nk.....utabaki wewe tu na stress zako huko porini.....na mnaropoka sababu hamkujui mnapaona tu kwenye tv......hahahahaha!huko wapo wanuka jasho na mikojo tu......
 
Kiundani akuna mkoa wenye wanawake wenye sura nzuri ila kinachotokea ni kama mkoa huo utapata maendeleo zaidi na mapema utaona mabadiliko ya wanawake kwenye mavazi na vitu vya urembo makeup nyingi na ujuzi wa kutumia vifaa ivyo ndo utaona mkoa huo una visura
 
Hapa utafiti wangu ulilenga kuangalia sura nzuri tu.mambo kama tabia ya mtu,chura, na shape sikuyajumlisha.
Na haya ndio matokeo ya utafiti wangu:
1.Arusha
2.Manyara
3.singida
4.Tanga
5.Tabora
6.kilimanjaro
7.Pemba
8.unguja
9.Dodoma
10.Dar es salaam.
Asanteni

Sura mbaya unaijua wewe? hebu tupe definition ya sura nzuri.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Huo utafiti wako nmeupenda walah..Bukoba kuna watoto wenye miguu bana na rang nyeusi inayovutia ila sura No...Mwanza na Kigoma aiseee hawa watu wameenda hewani wana mishepu na nywele ndefu ila sura No...Mbeya wanawake wa mby miguu jaman loooh n minene hatar
 
Ww utafiti wako ni wa kukulupuka hauna ukweli wowote ipo sababu ya kukumbia hivyo, 1.mwanza haipo. Kwa sababu huwezi kuzungumzia mamanzi wakali hapa Tanzania, ukasita kuzungumzia mwanza, 2.mara hasa tarime, umeshindwa kuizungumzia,kisa lambda umefikilia kwamba, sifa ya mkoa wa Mara ni ya watu watundu kwa hiyo hata umeshindwa kuwa sifa yao ya urembo, 3.we mtafiti gani huna history background ya mikoa inayo toa warembo, mfano mkoa wa arusha una history ya kutoa wasicha wakali katika mashindano ya warembo, hivyo bac mkoa huu unawarembo kibao hapo umebugi, pia, nne, utafiti wako hauna masilahi yoyote kiuchumi, kwanza umebugi, sita yawezekana, mikoa hiyo yote unamichepuko ndo unikusumbua hapa unajiongezea Kiki, wa bongo kwa michepuko mnadata na kupagawa na hata unaweza kuuza nyumba, na kuandika vitu kama Hivi ambavyo, Jamii hainufaiki, Kwa hiyo mm ningekuwa nimekutuma ww ukaja na report kama hii, nisinge ipokea na tena ungelikuwa a researcher ningeomba usimamishwe kazi Mara moja na wakuchunguze.
Mbona kama umepaniki
 
List ingekua feki, the moment Arusha, isingekuwepo.
 
Back
Top Bottom