UTAFITI: Tukikikuza kilimo kwa 10% tu tutafuta umasikini wa Watanzania kwa 50%- David Kafulila

Mwananchi Huru

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2021
Posts
2,535
Reaction score
2,226
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika kituo cha ITV kwenye kipindi cha DK 45 amesema yafuatayo namkuu,

" Kwanza ni kweli kwamba umasikini Tanzania haujaisha ila ni kweli kwamba Tanzania Umasikini Umepungua sana hasa awamu ya sita hapa hoja ni umasikini huu Umepungua kwa njia gani au kwa kiasi gani.

Anarejea ripoti ya Utafiti ya REPOA ya mwaka 2006 inayosema kama nchi ya Tanzania itawekeza kwenye sekta ya kilimo na Sekta hiyo ikakua walau kwa 10% tu kwa miaka mitatu mfululizo basi itapunguza umasikini kwa Watanzania wote Kwa 50%

Anaendeleaje kwa kusema Kukuza uchumi vijijini ni kuwekeza kwenye kilimo katika dhana pana, miundombinu ya maji, umeme, barabara na huduma za msingi kama elimu na afya takwimu zinaonesha mapinduzi makubwa maeneo yote hayo tumefanya vizuri sana, hakika kazi kubwa imefanywa na awamu ya sita alisema,

Kafulila anasema uwekezaji wa mbole kutoka tani laki tano hadi tani Milioni moja na laki mbili Wakati huo huo bajeti ya kilimo imeongezeka karibu mara tano zaidi, Bajeti ya Barabara TARURA vijijini nayo imeongezeka mara tano zaidi, Umeme vijiji umeongezeka kutoka vijiji elfu 10 mpaka vijijini elfu 12 haiwezakani mambo haya yote yafanyike na pasiwepo mabadiliko yoyote ya kiuchumi Kwa Watanzania hilo haiwezekani anasisitiza Kafulila.

Kafulila anaendelea Kwa kusema inawezekana tatizo la Umasikini Tanzania ni kweli halijaisha ila ni kweli pia kwamba tatizo la Umasikini Tanzania limepungua kwa kiasi kikubwa sana hasa kwenye miaka minne ya awamu hii ya sita (6) ya Mama Samia Suluhu Hassan" alisema.

===

Ameongea mengi zaidi msikilize hapa chini.

===
 
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika kituo cha ITV katika kipindi cha DK 45 amesema yafuatayo namkuu,

" Kwanza ni kweli kwamba umasikini Tanzania haujaisha ila ni kweli kwamba Tanzania Umasikini Umepungua sana hapa hoja ni umasikini huu Umepungua kwa njia gani au kwa kiasi gani.

Anarejea ripoti ya Utafiti ya REPOA ya mwaka 2006 inayosema kama nchi ya Tanzania itawekeza kwenye sekta ya kilimo na Sekta hiyo ikakua walau kwa 10% tu kwa miaka mitatu mfululizo basi itapunguza umasikini kwa Watanzania wote Kwa 50%

Anaendeleaje kwa kusema Kukuza uchumi vijijini ni kuwekeza kwenye kilimo katika dhana pana, miundombinu ya maji, umeme, barabara na huduma za msingi kama elimu na afya takwimu zinaonesha mapinduzi makubwa maeneo yote hayo tumefanya vizuri sana, hakika kazi kubwa imefanywa na awamu ya sita alisema,

Kafulila anasema uwekezaji wa mbole kutoka tani laki tano hadi tani Milioni moja na laki mbili Wakati huo huo bajeti ya kilimo imeongezeka karibu mara tano zaidi, Bajeti ya Barabara TARURA vijijini nayo imeongezeka mara tano zaidi, Umeme vijiji umeongezeka kutoka vijiji elfu 10 mpaka vijijini elfu 12 haiwezakani mambo haya yote yafanyike na pasiwepo mabadiliko yoyote ya kiuchumi Kwa Watanzania hilo haiwezekani.

Kafulila anaendelea Kwa kusema inawezekana tatizo la Umasikini Tanzania ni kweli halijaisha ila ni kweli pia kwamba tatizo la Umasikini Tanzania limepungua kwa kiasi kikubwa sana hasa kwenye miaka minne ya awamu hii ya sita (6) ya Mama Samia Suluhu Hassan" alisema.

View attachment 3356631

===
Nampenda Kafulila anabidii sana katika kumsaidia Mhe Rais wetu ashinde Kwa kishindo
 
Ni utafiti wa kweli? Ila ufafiti unapingwa Kwa utafiti nakaa kimya
 
Kumbe hamna today na Mwalimu anaye bonda mtoto wa mtu I'll apate alama za juu ukidhani anapenda afanikowe kumbe anategemea alama zile zimnufaishe yeye na Wala Hana Nia na ufaulu wa mtoto.
Tatizo liko wapi mkuu jamaa anapiga kazi
 
We Daudi kazi ukiyopewa kutetea sera mfu za CCM ni ngumu mno, yaani haiendani na mshahara wanaokulipa kwa mwezi.

Hivi nakuuliza ushawahi kulima hata heka moja ya mahindi Daudi ?
 
Back
Top Bottom