UTAFITI: Tukikikuza kilimo kwa 10% tu tutafuta umasikini wa Watanzania kwa 50%- David Kafulila

Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika kituo cha ITV katika kipindi cha DK 45 amesema yafuatayo namkuu,

" Kwanza ni kweli kwamba umasikini Tanzania haujaisha ila ni kweli kwamba Tanzania Umasikini Umepungua sana hapa hoja ni umasikini huu Umepungua kwa njia gani au kwa kiasi gani.

Anarejea ripoti ya Utafiti ya REPOA ya mwaka 2006 inayosema kama nchi ya Tanzania itawekeza kwenye sekta ya kilimo na Sekta hiyo ikakua walau kwa 10% tu kwa miaka mitatu mfululizo basi itapunguza umasikini kwa Watanzania wote Kwa 50%

Anaendeleaje kwa kusema Kukuza uchumi vijijini ni kuwekeza kwenye kilimo katika dhana pana, miundombinu ya maji, umeme, barabara na huduma za msingi kama elimu na afya takwimu zinaonesha mapinduzi makubwa maeneo yote hayo tumefanya vizuri sana, hakika kazi kubwa imefanywa na awamu ya sita alisema,

Kafulila anasema uwekezaji wa mbole kutoka tani laki tano hadi tani Milioni moja na laki mbili Wakati huo huo bajeti ya kilimo imeongezeka karibu mara tano zaidi, Bajeti ya Barabara TARURA vijijini nayo imeongezeka mara tano zaidi, Umeme vijiji umeongezeka kutoka vijiji elfu 10 mpaka vijijini elfu 12 haiwezakani mambo haya yote yafanyike na pasiwepo mabadiliko yoyote ya kiuchumi Kwa Watanzania hilo haiwezekani.

Kafulila anaendelea Kwa kusema inawezekana tatizo la Umasikini Tanzania ni kweli halijaisha ila ni kweli pia kwamba tatizo la Umasikini Tanzania limepungua kwa kiasi kikubwa sana hasa kwenye miaka minne ya awamu hii ya sita (6) ya Mama Samia Suluhu Hassan" alisema.

View attachment 3356631

==

Safi cde Kafulila
 
Mnazungumzia kuwekeza kwenye kilimo wakati zipo bidhaa nyingi tu zina kodi ya kutosha kwenye kilimo toeni kodi ya hizo bidhaa kabisa harafu mje kupata pesa kwenye mazao yake..
 
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika kituo cha ITV kwenye kipindi cha DK 45 amesema yafuatayo namkuu,

" Kwanza ni kweli kwamba umasikini Tanzania haujaisha ila ni kweli kwamba Tanzania Umasikini Umepungua sana hapa hoja ni umasikini huu Umepungua kwa njia gani au kwa kiasi gani.

Anarejea ripoti ya Utafiti ya REPOA ya mwaka 2006 inayosema kama nchi ya Tanzania itawekeza kwenye sekta ya kilimo na Sekta hiyo ikakua walau kwa 10% tu kwa miaka mitatu mfululizo basi itapunguza umasikini kwa Watanzania wote Kwa 50%

Anaendeleaje kwa kusema Kukuza uchumi vijijini ni kuwekeza kwenye kilimo katika dhana pana, miundombinu ya maji, umeme, barabara na huduma za msingi kama elimu na afya takwimu zinaonesha mapinduzi makubwa maeneo yote hayo tumefanya vizuri sana, hakika kazi kubwa imefanywa na awamu ya sita alisema,

Kafulila anasema uwekezaji wa mbole kutoka tani laki tano hadi tani Milioni moja na laki mbili Wakati huo huo bajeti ya kilimo imeongezeka karibu mara tano zaidi, Bajeti ya Barabara TARURA vijijini nayo imeongezeka mara tano zaidi, Umeme vijiji umeongezeka kutoka vijiji elfu 10 mpaka vijijini elfu 12 haiwezakani mambo haya yote yafanyike na pasiwepo mabadiliko yoyote ya kiuchumi Kwa Watanzania hilo haiwezekani.

Kafulila anaendelea Kwa kusema inawezekana tatizo la Umasikini Tanzania ni kweli halijaisha ila ni kweli pia kwamba tatizo la Umasikini Tanzania limepungua kwa kiasi kikubwa sana hasa kwenye miaka minne ya awamu hii ya sita (6) ya Mama Samia Suluhu Hassan" alisema.

View attachment 3356631

===
Kafulila akili kubwa sana huyu jamaa apewe sifa zake
 
Kenge wa CCM katika ubora wao,Mara wahitimu wa vyuo, waende veta kusoma ili waweze kujiajiri!
Sasa, hii ya, kilimo, unaweza kudhani, hii ardhi haikuwepo tangu Uhuru, au CCM ndio chama cha upinzani, kila siku mnatutajia matatizo badala ya kuleta ufumbuzi, kenge kabisa
 
Mkuu ukae ukijua juhudi zinaendelea kila siku ya Mungu
 
Umeongea point sana magari yanayobeba mazao nayo yanatakiwa kukatwa Kodi vivyo hivyo
Kipindi cha mavuno watu wanasafirisha mazao kwa gharama kubwa inapelekea mazao kuongezwa bei wakati yangesafirishwa kwa gharama za kawaida watu wangenunua kwa gharama ndogo..
 
Kenge wa CCM katika ubora wao,Mara wahitimu wa vyuo, waende veta kusoma ili waweze kujiajiri!
Sasa, hii ya, kilimo, unaweza kudhani, hii ardhi haikuwepo tangu Uhuru, au CCM ndio chama cha upinzani, kila siku mnatutajia matatizo badala ya kuleta ufumbuzi, kenge kabisa
CCM sio genge ila ni CCM ni chama makini sana Cha siasa nchini Tanzania
 
😂😂acha mzaha mkuu, mbona kilimo kinawatoa wengi sana tu
Ndio vizuri naye abebe tafiti aende akawekeze, akifanikiwa tutaenda kujifunza kwake.

Wao wanaongea theories tu ukiwaambia wafanye kweli hawataki.

Unatupa chakula usichokila wewe.
 
Back
Top Bottom