PiedPiper77
Senior Member
- Jan 8, 2025
- 189
- 231
Ni maajabu kabisaAshinde kwani anashindana na nani?
Kamuweka mpinzani wake jela Ili yeye ashinde Kwa ulaini tu

Wao wapo mijini na hawajawahi kulima. Kilimo siyo kazi rahisi kama unavyoongelea tena kilimo hiki cha kutegemea mvua.Kilimo ndio.kila.kitu
Madalali wanaumiza sana wakuli ukifika Dar wanachukua kila Kitu Utadhani wamelima waoWao wapo mijini na hawajawahi kulima. Kilimo siyo kazi rahisi kama unavyoongelea tena kilimo hiki cha kutegemea mvua.
Dalali anapata pesa nyingi kuliko mkulima na mfanyabiashara
Mkulima hawezi kunufaika kwenye kilimo. Serikali inabidi ipige marufuku udalali kwenye kilimo na ushuru asilipe anapopeleka mazi sokoniMadalali wanaumiza sana wakuli ukifika Dar wanachukua kila Kitu Utadhani wamelima wao
Unachokisema ndio ukweli wenyewe mkuu, Ukifika na tikiti kwanza unawapa wao kisha wewe sasa unawasubiri wauze Kwa bei zaoMkulima hawezi kunufaika kwenye kilimo. Serikali inabidi ipige marufuku udalali kwenye kilimo na ushuru asilipe anapopeleka mazi sokoni
Mkulima kupata gari la kupeleka mazao sokoni, dalali anataka hela bado mwenye gari anadai chake, bado ushuru anatakiwa alipe kwa serikali, akifika sokoni. Dalali ndiyo anapanga bei ya mazao yake. Bado sokoni kuna ushuru mkulima anatakiwa alipe. Lini huyu mkulima atakuwa tajiri?
Kafulila mbona anajua vitu vingi kwani ni mtaalamu wa mambo gani?Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika kituo cha ITV kwenye kipindi cha DK 45 amesema yafuatayo namkuu,
" Kwanza ni kweli kwamba umasikini Tanzania haujaisha ila ni kweli kwamba Tanzania Umasikini Umepungua sana hapa hoja ni umasikini huu Umepungua kwa njia gani au kwa kiasi gani.
Anarejea ripoti ya Utafiti ya REPOA ya mwaka 2006 inayosema kama nchi ya Tanzania itawekeza kwenye sekta ya kilimo na Sekta hiyo ikakua walau kwa 10% tu kwa miaka mitatu mfululizo basi itapunguza umasikini kwa Watanzania wote Kwa 50%
Anaendeleaje kwa kusema Kukuza uchumi vijijini ni kuwekeza kwenye kilimo katika dhana pana, miundombinu ya maji, umeme, barabara na huduma za msingi kama elimu na afya takwimu zinaonesha mapinduzi makubwa maeneo yote hayo tumefanya vizuri sana, hakika kazi kubwa imefanywa na awamu ya sita alisema,
Kafulila anasema uwekezaji wa mbole kutoka tani laki tano hadi tani Milioni moja na laki mbili Wakati huo huo bajeti ya kilimo imeongezeka karibu mara tano zaidi, Bajeti ya Barabara TARURA vijijini nayo imeongezeka mara tano zaidi, Umeme vijiji umeongezeka kutoka vijiji elfu 10 mpaka vijijini elfu 12 haiwezakani mambo haya yote yafanyike na pasiwepo mabadiliko yoyote ya kiuchumi Kwa Watanzania hilo haiwezekani.
Kafulila anaendelea Kwa kusema inawezekana tatizo la Umasikini Tanzania ni kweli halijaisha ila ni kweli pia kwamba tatizo la Umasikini Tanzania limepungua kwa kiasi kikubwa sana hasa kwenye miaka minne ya awamu hii ya sita (6) ya Mama Samia Suluhu Hassan" alisema.
View attachment 3356631
===
Kafulila Yuko focused kwenye mambo ya msingi tu mfuatilie tu utaonaAnatetea CCM au anatetea wananchi wa Tanzania?
Naunga mkono hoja yakoHahaha nimesema atangulie yeye na utafiti aka wekeze awe shamba darasa, tutajifunza kutoka kwake.
Ni mpambanaji sana jamaaNampenda Kafulila anabidii sana katika kumsaidia Mhe Rais wetu ashinde Kwa kishindo
Yupo Mzee RungweAshinde kwani anashindana na nani?
Kamuweka mpinzani wake jela Ili yeye ashinde Kwa ulaini tu
MazafakiniwenyeweMadafaka uchawa tu
Jamaa anajisikia sana ila ndio wakati wake na yeye mzee wa madataMkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika kituo cha ITV kwenye kipindi cha DK 45 amesema yafuatayo namkuu,
" Kwanza ni kweli kwamba umasikini Tanzania haujaisha ila ni kweli kwamba Tanzania Umasikini Umepungua sana hapa hoja ni umasikini huu Umepungua kwa njia gani au kwa kiasi gani.
Anarejea ripoti ya Utafiti ya REPOA ya mwaka 2006 inayosema kama nchi ya Tanzania itawekeza kwenye sekta ya kilimo na Sekta hiyo ikakua walau kwa 10% tu kwa miaka mitatu mfululizo basi itapunguza umasikini kwa Watanzania wote Kwa 50%
Anaendeleaje kwa kusema Kukuza uchumi vijijini ni kuwekeza kwenye kilimo katika dhana pana, miundombinu ya maji, umeme, barabara na huduma za msingi kama elimu na afya takwimu zinaonesha mapinduzi makubwa maeneo yote hayo tumefanya vizuri sana, hakika kazi kubwa imefanywa na awamu ya sita alisema,
Kafulila anasema uwekezaji wa mbole kutoka tani laki tano hadi tani Milioni moja na laki mbili Wakati huo huo bajeti ya kilimo imeongezeka karibu mara tano zaidi, Bajeti ya Barabara TARURA vijijini nayo imeongezeka mara tano zaidi, Umeme vijiji umeongezeka kutoka vijiji elfu 10 mpaka vijijini elfu 12 haiwezakani mambo haya yote yafanyike na pasiwepo mabadiliko yoyote ya kiuchumi Kwa Watanzania hilo haiwezekani.
Kafulila anaendelea Kwa kusema inawezekana tatizo la Umasikini Tanzania ni kweli halijaisha ila ni kweli pia kwamba tatizo la Umasikini Tanzania limepungua kwa kiasi kikubwa sana hasa kwenye miaka minne ya awamu hii ya sita (6) ya Mama Samia Suluhu Hassan" alisema.
View attachment 3356631
===
Maisha mazuri Kafulila ni mtoto wa Mama Samia damu damuJamaa anajisikia sana ila ndio wakati wake na yeye mzee wa madata
Umeongea Kwa uchungu sanaUmasikinj kuufuta kizazi hiki msahau. Kuna tabia zipo kwa mtu hata ukimpa bilioni moja jua tu itatoweka na atarejea hali yake ya umasikini.
Umasikini wa Tanzania ukitazama hautokani na kukosa kipato au kumiliki mali bali unatokana na tabia za wanajamii kukumbatia fikra, mitazamo,tamaduni,na mitazamo ambayo inakinzana na maendeleo.
Mtanzania wa sasa wa kawaida haamini katika kujituma ili kubadili maisha yake na ya wale wanaomzunguka,anaamini katika kujikwamua katika kukosa kipato akikipata tu anarelax.
Watanzania wengi wanaamini katika kujiegemeza kwa wengine badala ya kujisimamia na kujitegeme ili wawasaidie wengine. Unakuta mzazi alifanikiwa akapata maisha na uchumi mzuri ila anakwambia "mimi nataka watoto wangu wajipambanie wenyewe ili wawe na uchungu wa mafanikio. Hapo atawabania watoto mali zake. Sasa ulifanikiwa ili watoto wako wasikutimie kama daraja la mafanikio?
Watanzania tazama hata siasa zao, wanataka aje kiongozi m'moja atatue shida za watu milioni 75+ na azimalize ndani ya miaka 5 hadi 10.
Wanaamini katika kupewa pesa bila kufanyia kazi. Hawajui pesa ni kipimo au malipo ya jitihada ulizotia katika kazi au shughuli fulani ambayo imekuzalishia tija wewe binafsi na kuwasaidia wengine kimaendeleo. Ndio maana rushwa ndio means ya kusurvive Tanzania na watu wanaomba rushwa kwa nguvu na wazi wazi bila uoga na wanaona ni haki kupewa rushwa.
Mtanzania wa wastani ni ngumu sana kumtenganisha na umasikini sababu anapenda harufu yake na anaukumbatia masaa 24 ili anukie umasikini.
Mimi kwasasa namnusa masikini haraka kuliko tajiri. Imagine kijana anakujia anakulilia anashida ya kazi. Unamtengenezea mazingira ya kazi na kianzio cha chini cha mapato ambacho kitampa uhakika wa maisha ya kujijenga. Ila bado atafanya mbinu na jitihada za kukuibia na kuhakikisha anakuharibia shughuli yako. Ukimkamata na kumhoji, anakutolea mimacho ya nisamehe ni bahati mbaya.
Umasikini Tanzania kwasasa ndio vazi la taifa kila mtu anapambana kuuvaa huku akijifanya anauchukia.
Mtanzania wa kawaida apate pesa nyingi kwa wakati m'moja tazama upuuzi atakaofanya nazo as if kaambiwa hizo pesa kabla ya jua kuzama ziwe zimeisha.
Wewe chawa ni bonge la falasiUTAFITI: Kafulila ana IDs zaidi ya 9 Jamii Forums kazi yake kupost post tafiti zake zisizojulikana na kusifia sifia tu, ukimuuliza nionyeshe mradi mmoja uliokamilika wa PPP wenye tija, ataanza story, narudia iko siku Mh. Rais atajua wazi Kafulila mtu wa usanii zaidi kuliko utendaji, hapo atampiga chini haraka sana
Sijui wenye vitengo vyao kama wanafurahia hiiMkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika kituo cha ITV kwenye kipindi cha DK 45 amesema yafuatayo namkuu,