UTAFITI: Tukikikuza kilimo kwa 10% tu tutafuta umasikini wa Watanzania kwa 50%- David Kafulila

UTAFITI: Kafulila ana IDs zaidi ya 9 Jamii Forums kazi yake kupost post tafiti zake zisizojulikana na kusifia sifia tu, ukimuuliza nionyeshe mradi mmoja uliokamilika wa PPP wenye tija, ataanza story, narudia iko siku Mh. Rais atajua wazi Kafulila mtu wa usanii zaidi kuliko utendaji, hapo atampiga chini haraka sana
Kwanza huyu ni Mrundi
 
Wewe chawa ni bonge la falasi
Kazi anazozifanya Kafulila nchi hii unataka umfananishe na Mkurugenzi gani mmoja mtaje,

Kazi ya PPP ni technical sio kazi ya kukimbizana na watendaji wa Serikali au mashirika ya Umma ila ni kazi ya kushawishi na kutongoza matajiri.

Punguza kutumika kifala namna hii.

Rais aliyemteua anajua umuhimu wake na umuhimu unaonekana,

SHIDA YENU HAMTAKI RAIS ATETEWE ILI AANGUKE, SO STUPID,

Unajiita mwanaCCM kumbe mwanaCCM Masilahi tu,

Kafulila hajawahi kuwa ID hapa Jf ila Wazalendo wanaothamini anachokifanya ndio hao wanamtetea nikiwemo Mimi.

Karibu sana,

Mimi sijibiwi hivyo, i will castrate you stupid, nitakupiga ufe umesimama kwa mkono mmoja, nakupiga mara moja tu unakojoa damu na maini yatakatika, nyoko wee..!!

Kafulila hana analofanya zaidi ya uchawa tu, pumbaf wewe, hujui kitu hata kidogo, uchawa sio kufanya kazi, sio professionalism, na sio utiii, ni ujinga na ushenzi wa watu kama wewe..!! Taja hata mradi mmoja ambao Kafulila kafanikisha through PPP? Mmoja tu, acha ujinga wewe mtoto mdogo..

Kafulila ana IDs zaidi ya 9 hapa JF kazi yake ku post post tafiti feki na kusifia sifia tu, hakuna mradi hata mmoja unaojulikana kukamilika kwa PPP, kazi kuandika andika tu mitandaoni..!!

Kafulila ni msanii tu, hana lolote, period
 
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika kituo cha ITV kwenye kipindi cha DK 45 amesema yafuatayo namkuu,

" Kwanza ni kweli kwamba umasikini Tanzania haujaisha ila ni kweli kwamba Tanzania Umasikini Umepungua sana hapa hoja ni umasikini huu Umepungua kwa njia gani au kwa kiasi gani.

Anarejea ripoti ya Utafiti ya REPOA ya mwaka 2006 inayosema kama nchi ya Tanzania itawekeza kwenye sekta ya kilimo na Sekta hiyo ikakua walau kwa 10% tu kwa miaka mitatu mfululizo basi itapunguza umasikini kwa Watanzania wote Kwa 50%

Anaendeleaje kwa kusema Kukuza uchumi vijijini ni kuwekeza kwenye kilimo katika dhana pana, miundombinu ya maji, umeme, barabara na huduma za msingi kama elimu na afya takwimu zinaonesha mapinduzi makubwa maeneo yote hayo tumefanya vizuri sana, hakika kazi kubwa imefanywa na awamu ya sita alisema,

Kafulila anasema uwekezaji wa mbole kutoka tani laki tano hadi tani Milioni moja na laki mbili Wakati huo huo bajeti ya kilimo imeongezeka karibu mara tano zaidi, Bajeti ya Barabara TARURA vijijini nayo imeongezeka mara tano zaidi, Umeme vijiji umeongezeka kutoka vijiji elfu 10 mpaka vijijini elfu 12 haiwezakani mambo haya yote yafanyike na pasiwepo mabadiliko yoyote ya kiuchumi Kwa Watanzania hilo haiwezekani.

Kafulila anaendelea Kwa kusema inawezekana tatizo la Umasikini Tanzania ni kweli halijaisha ila ni kweli pia kwamba tatizo la Umasikini Tanzania limepungua kwa kiasi kikubwa sana hasa kwenye miaka minne ya awamu hii ya sita (6) ya Mama Samia Suluhu Hassan" alisema.

View attachment 3356631

===
Huyu baba Mhe Rais amwangalie Kwa jicho la huruma
 
Tatizo lako uraia
 
Hii ni kweli kilimo kinaweza kukutoa kirahisi kabisa na usitumie gharama yoyote.
 
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika kituo cha ITV kwenye kipindi cha DK 45 amesema yafuatayo namkuu,

" Kwanza ni kweli kwamba umasikini Tanzania haujaisha ila ni kweli kwamba Tanzania Umasikini Umepungua sana hasa awamu ya sita hapa hoja ni umasikini huu Umepungua kwa njia gani au kwa kiasi gani.

Anarejea ripoti ya Utafiti ya REPOA ya mwaka 2006 inayosema kama nchi ya Tanzania itawekeza kwenye sekta ya kilimo na Sekta hiyo ikakua walau kwa 10% tu kwa miaka mitatu mfululizo basi itapunguza umasikini kwa Watanzania wote Kwa 50%

Anaendeleaje kwa kusema Kukuza uchumi vijijini ni kuwekeza kwenye kilimo katika dhana pana, miundombinu ya maji, umeme, barabara na huduma za msingi kama elimu na afya takwimu zinaonesha mapinduzi makubwa maeneo yote hayo tumefanya vizuri sana, hakika kazi kubwa imefanywa na awamu ya sita alisema,

Kafulila anasema uwekezaji wa mbole kutoka tani laki tano hadi tani Milioni moja na laki mbili Wakati huo huo bajeti ya kilimo imeongezeka karibu mara tano zaidi, Bajeti ya Barabara TARURA vijijini nayo imeongezeka mara tano zaidi, Umeme vijiji umeongezeka kutoka vijiji elfu 10 mpaka vijijini elfu 12 haiwezakani mambo haya yote yafanyike na pasiwepo mabadiliko yoyote ya kiuchumi Kwa Watanzania hilo haiwezekani anasisitiza Kafulila.

Kafulila anaendelea Kwa kusema inawezekana tatizo la Umasikini Tanzania ni kweli halijaisha ila ni kweli pia kwamba tatizo la Umasikini Tanzania limepungua kwa kiasi kikubwa sana hasa kwenye miaka minne ya awamu hii ya sita (6) ya Mama Samia Suluhu Hassan" alisema.

===

Ameongea mengi zaidi msikilize hapa chini.
View attachment 3356631

===
Kazi imefanyika tuache utani Kwa kweli
 
Utafiti unapingwa Kwa utafiti
 
Hongera sana Mama Samia
 
Tukikuza Kilimo akimaanisha nini ?

Mpaka leo peasants (siwezi kuwaita farmers) wanalima na kukosa masoko kwa vitu kuwa bei ndogo kuliko uzalishaji, au middle men kufanya ulanguzi hivyo kuwapa bei ndogo au bei kushuka kila wakati wa mavuno...

Kwahio in short wakulima wanafanya kazi yao bila shida yoyote wale watunga sera na viongozi wengine ndio wameshindwa kazi kuhakikisha hawa peasants wanapata ujira wa kutosha kwa kazi yao... Tulichohitaji kufanya jana na sio leo, na wala haiitaji miundombinu yoyote bali political willingness ni kuhakikisha watu wanabakiwa na disposable income waweze kununua hata huo mchicha wa wakulima na kula milo mitatu badala ya sasa hivi mlo mmoja

Big brain
 
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika kituo cha ITV kwenye kipindi cha DK 45 amesema yafuatayo namkuu,

" Kwanza ni kweli kwamba umasikini Tanzania haujaisha ila ni kweli kwamba Tanzania Umasikini Umepungua sana hasa awamu ya sita hapa hoja ni umasikini huu Umepungua kwa njia gani au kwa kiasi gani.

Anarejea ripoti ya Utafiti ya REPOA ya mwaka 2006 inayosema kama nchi ya Tanzania itawekeza kwenye sekta ya kilimo na Sekta hiyo ikakua walau kwa 10% tu kwa miaka mitatu mfululizo basi itapunguza umasikini kwa Watanzania wote Kwa 50%

Anaendeleaje kwa kusema Kukuza uchumi vijijini ni kuwekeza kwenye kilimo katika dhana pana, miundombinu ya maji, umeme, barabara na huduma za msingi kama elimu na afya takwimu zinaonesha mapinduzi makubwa maeneo yote hayo tumefanya vizuri sana, hakika kazi kubwa imefanywa na awamu ya sita alisema,

Kafulila anasema uwekezaji wa mbole kutoka tani laki tano hadi tani Milioni moja na laki mbili Wakati huo huo bajeti ya kilimo imeongezeka karibu mara tano zaidi, Bajeti ya Barabara TARURA vijijini nayo imeongezeka mara tano zaidi, Umeme vijiji umeongezeka kutoka vijiji elfu 10 mpaka vijijini elfu 12 haiwezakani mambo haya yote yafanyike na pasiwepo mabadiliko yoyote ya kiuchumi Kwa Watanzania hilo haiwezekani anasisitiza Kafulila.

Kafulila anaendelea Kwa kusema inawezekana tatizo la Umasikini Tanzania ni kweli halijaisha ila ni kweli pia kwamba tatizo la Umasikini Tanzania limepungua kwa kiasi kikubwa sana hasa kwenye miaka minne ya awamu hii ya sita (6) ya Mama Samia Suluhu Hassan" alisema.

===

Ameongea mengi zaidi msikilize hapa chini.
View attachment 3356631

===
This might be true
 
Back
Top Bottom