UTAFITI: Una imani na Jeshi la Polisi la Tanzania?

Je, una imani na Jeshi la Polisi Tanzania?

  • Ndio

    Votes: 1 11.1%
  • Hapana

    Votes: 6 66.7%
  • Hata sijui nisemeje

    Votes: 2 22.2%

  • Total voters
    9

The Dictator

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2018
Posts
4,475
Reaction score
12,281
Wote tunajua jukumu na wajibu wa jeshi la polisi.

Lakini kwa hivi karibuni kumekuwa na migogoro sana baina ya wananchi wa kawaida na majeshi ya ulinzi na usalama; hasa jeshi la police. Kila mtu akiwa na maoni yake juu yao.

Je wewe una maoni gani?
 
Labda polisi ndio wawe na imani na mimi.
Siwezi kuwaamini kwenye maisha haya na hata mbinguni ikitokea bahati mbaya wakaenda
 
Weka kura yako hapa
1. Nina imani na jeshi la police Tanzania
2. Sina imani na jeshi la police Tanzania
Namba Moja itawakilisha KUWA NA IMANI
Namba mbili itawakilisha KUTOKUWA NA IMANI
Muda wa kura ni wiki mbili kuanzia muda huu wa tarehe 7.11.2025
 
IMG_20251107_214121.jpg
 
Wote tunajua jukumu na wajibu wa jeshi la polisi.

Lakini kwa hivi karibuni kumekuwa na migogoro sana baina ya wananchi wa kawaida na majeshi ya ulinzi na usalama; hasa jeshi la police. Kila mtu akiwa na maoni yake juu yao.

Je wewe una maoni gani?
2
 
Ni jesbi ka cxm au la wanancbi?
 
Back
Top Bottom