The Dictator
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 4,475
- 12,281
Piga kura tafadhali.. Server za JF sio za laptopMkuu mnajaza server za JF.
Hakuna mtu mwenye Imani na Jeshi la police wala Jeshi la wananchi kwasasa wote ni mafala tu.
Hiyo ni mada nyingine mkuuOngeza kipengele cha sisi tunaotaka polisi wote warest in peace
Kumetulia tuu lakini hakujapoa
2Wote tunajua jukumu na wajibu wa jeshi la polisi.
Lakini kwa hivi karibuni kumekuwa na migogoro sana baina ya wananchi wa kawaida na majeshi ya ulinzi na usalama; hasa jeshi la police. Kila mtu akiwa na maoni yake juu yao.
Je wewe una maoni gani?
Ni jesbi ka cxm au la wanancbi?Wote tunajua jukumu na wajibu wa jeshi la polisi.
Lakini kwa hivi karibuni kumekuwa na migogoro sana baina ya wananchi wa kawaida na majeshi ya ulinzi na usalama; hasa jeshi la police. Kila mtu akiwa na maoni yake juu yao.
Je wewe una maoni gani?