Utafiti unafanywa kupendekeza Israel ifukukuzwe uanachama wa Umoja wa Mataifa, Indonesia, Malaysia, Norway, Namibia, Qatar zikiunga mkono wazo hili

Synthesizer

Platinum Member
Joined
Feb 15, 2010
Posts
12,699
Reaction score
22,598
Matukio ya hivi karibuni huko Gaza na Lebanon ambayo yameonwa na wadau wengi kuwa ni ukiukwaji mkubwa wa Israel wa haki za binadamu na kuvunja kanuni za Umoja wa Mataifa, yamefanya baadhi ya nchi kuanza mkakati wa kuandaa pendekezo la kuwaondolea Israel uanachama wa Umoja wa Mataifa.

Nini msimamo wa Tanzania katika jambo kama hili? Tunapaswa kuwa na msimamo, sio kusema sisi tuko neutral. Huko ni kutokuwa na msimamo na ni tabia ya uoga.

Taarifa kamili hapa chini.

Malaysia backs Israel’s expulsion from United Nations​

Indonesia, Norway and Qatar are also part of the core group studying if Israel can be expelled for violating international laws. Malaysia has joined forces with a core group of disaffected countries drafting a United Nations resolution that could lead to Israel's expulsion if it is found to have violated international law, Prime Minister Anwar Ibrahim announced.

During a ministerial address in parliament on Monday, Anwar revealed that the draft resolution is currently under negotiation and is expected to be presented at the UN General Assembly for approval soon.

Malaysia is part of a core group that is aiming to seek an advisory opinion from the International Court of Justice regarding Israel's obligations to permit the presence and activities of international and UN agencies in the Occupied Palestinian Territories, Anwar said.

Other members of the group include Egypt, Indonesia, Namibia, Norway, Qatar and Saudi Arabia.

"We will study if Israel can be removed as a member of the UN if there is a violation of international laws," Anwar told parliament.

Source: MSN
 
mambumbumbu peke yake ndio wameunga mkono, watu wasio na impact yeyote kwa Israel. hata hivyo Israel ilishatangaza kwamba inataka kujiondoa UN. wala hawatishwi.
 
Kama UN inashindwa kuwafanyia vetting ya kutosha wafanyakazi wake wa UNRWA mpaka kushirikiana na magaidi wa Hamas, kushiriki mauaji na utekaji, October 7th, 2023,Israel,,kutumia UN facilities huko Gaza kwenye shughuli za kigaidi, kwanini wasitimuliwe? Hapo Israel kakosea wapi?Haya mambo yanafanyika watu wameziba masikio na macho!!. Israel like any sovereign state has right to defend itself 🤔
 
Matukio ya hivi karibuni huko Gaza na Lebanon ambayo yameonwa na wadau wengi kuwa ni ukiukwaji mkubwa wa Israel wa haki za binadamu na kuvunja kanuni za Umoja wa Mataifa, yamefanya baadhi ya nchi kuanza mkakati wa kuandaa pendekezo la kuwaondolea Israel uanachama wa Umoja wa Mataifa.

Nini msimamo wa Tanzania katika jambo kama hili? Tunapaswa kuwa na msimamo, sio kusema sisi tuko neutral. Huko ni kutokuwa na msimamo na ni tabia ya uoga.

Taarifa kamili hapa chini.

Malaysia backs Israel’s expulsion from United Nations​

Indonesia, Norway and Qatar are also part of the core group studying if Israel can be expelled for violating international laws. Malaysia has joined forces with a core group of disaffected countries drafting a United Nations resolution that could lead to Israel's expulsion if it is found to have violated international law, Prime Minister Anwar Ibrahim announced.

During a ministerial address in parliament on Monday, Anwar revealed that the draft resolution is currently under negotiation and is expected to be presented at the UN General Assembly for approval soon.

Malaysia is part of a core group that is aiming to seek an advisory opinion from the International Court of Justice regarding Israel's obligations to permit the presence and activities of international and UN agencies in the Occupied Palestinian Territories, Anwar said.

Other members of the group include Egypt, Indonesia, Namibia, Norway, Qatar and Saudi Arabia.

"We will study if Israel can be removed as a member of the UN if there is a violation of international laws," Anwar told parliament.

Source: MSN
Ni uamuzi mzuri na wa busara sana UN haiwezi kua kuwa na mwanachama mwenye mrengo kigaidi mvunjifu wa amani duniani..
 
Huo Umoja, wa mataifa ulioshindwa leta amani Somalia , DRC , Nigeria , Mpzambique , Central africa , Cameroon , Mali , Sudan kote huko wameferi kwa hizo njia za kumsubit adui akushambulie ndo mjibu wkt unajua alipo , na unawapa taarifa wananchi wapishe buffer zone ila wananchi wanaona wao vita si htr kwao na wanaona no sahihi kuwakumbatia wauaji hizbollah nq hamas , hivyo idf ana haki zote , Israel sio DRC ambae anajua Kagame ni mchochez wa vita ndan ya DRC nq bado DRC wapo kimya wanapambana na adui akiwa ndan ya nchi yao wkt wanaweza piga mziz

achen Israel aue yeyote atakae wakingia watesi wao , ukitaka amani bas usilete fujo kwa wengine
 
Kama UN inashindwa kuwafanyia vetting ya kutosha wafanyakazi wake wa UNRWA mpaka kushirikiana na magaidi wa Hamas, kushiriki mauaji na utekaji, October 7th, 2023,Israel,,kutumia UN facilities huko Gaza kwenye shughuli za kigaidi, kwanini wasitimuliwe? Hapo Israel kakosea wapi?Haya mambo yanafanyika watu wameziba masikio na macho!!. Israel like any sovereign state has right to defend itself 🤔
Haya mambo ya vetting hayawezi kukupa uhakika 100%, ndio maana unaweza kukuta una Marekani wana CIA agent kumbe ni spy wa Urusi, au vice versa! Kuna watu wapo JF kama moderators, kumbe wametumwa na chama tawala kuua thread zenye kukiumiza!
 
Huo Umoja, wa mataifa ulioshindwa leta amani Somalia , DRC , Nigeria , Mpzambique , Central africa , Cameroon , Mali , Sudan kote huko wameferi kwa hizo njia za kumsubit adui akushambulie ndo mjibu wkt unajua alipo , na unawapa taarifa wananchi wapishe buffer zone ila wananchi wanaona wao vita si htr kwao na wanaona no sahihi kuwakumbatia wauaji hizbollah nq hamas , hivyo idf ana haki zote , Israel sio DRC ambae anajua Kagame ni mchochez wa vita ndan ya DRC nq bado DRC wapo kimya wanapambana na adui akiwa ndan ya nchi yao wkt wanaweza piga mziz

achen Israel aue yeyote atakae wakingia watesi wao , ukitaka amani bas usilete fujo kwa wengine
Waache Israel aue atakaye hadi siku atakapokuua na wewe Mkuu, au ndugu yako?
 
UN cjaona faida yake wala hasara wakijiondoa,DRC pekee wameshindwa kuilinda sembuse israel.
 
UN wanailinda Israel? Sasa faida ya kutokuwa UN kwa Israel ni kwamba, nchi moja mwanachama wa UN haiwezi tu kuvamia nchi nyingine. Ikifanya hivyo UN wanaweza kupitisha azimio ipigwe, kama ilivyokuwa kwa Iraq dhidi ya Kuwait. Bila Israel kuwa member wa UN, waarabu wote wanaweza kujikusanya na kuanza beef na Israel, na itabidi Israel ijitegemee kukabiliana nao bila UN kungilia
 
Israel amkuwa na history ya kuwapiga risasi na kuua askari wa UM. Akiondolewa UN si ndio itakuwa kichaa kapewa rungu kila akiona askari wa UN?
HILO NDILO LITAKALOPELEKEA NA KUSAIDIA KUFUTWA KWA HILI TAIFA MAZIMA AU PENGINE HOLOCUST NYINGINE KWA AJILI YAO IPO KARIBU SANA
 
Watanzania gani unaotaka kujua upande wao? Mbona wapo akina Faiz foxy, webabu,Ritz, wapo upande wa magaidi na wengine sie tupo kwa mayaudi. Au unataka tamko la mama Abduli?
 
Back
Top Bottom