Utafiti; Wakenya wengi wamekata tamaa ya maisha

Maoni ya mtu wa jamii forum hayo πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Hivi mtu akiwa anasafirisha madawa ya kulevya kutoka Tz kuja Kenya harafu mkamkamata je mtamrudishia madawa ya kulevya ayarudishe tZ
 
Mkuu, Whatever you posted was also an "opinion poll" that was conducted by InfoTrack Kenya. Shida ni uelewa wenu ama Waalimu? Kwa vile wenzako wanakushabikia bila kufikirikia angalau kidogo.
Utafiti ni maoni ya watu wengi(sio mtu mmoja), waliochaguliwa kwa kutumia mfumo/njia za kitaalamu(sampling), ili kupunguza upendeleo, walioulizwa maswali yaliyoandaliwa kisayansi ili kupata taarifa inayotakikana, kisha hayo maoni yakafanyiwa upembuzi wa kisayansi (scientific analysis)

Nadhani sasa unaelewa tofauti kati ya utafiti na maoni ya mtu mmoja
 
Wataka kuniambia ya kwamba vifaranga na madawa za kulevya ni the same?
Tanzania tuliweka sheria ya kupiga marufuku ya kukataza uingizaji wa ndege hai, kama njia ya kuthibiti magonjwa yanayoenezwa na ndege mwaka 2007.

Mbona tunakama wanaoingiza mirungi kutokana na kwamba huku Tanzania haturuhusu mirungi wakati Kenya mnaruhusu, mbona hamlalamiki na kutaka tuwarudishie mirungi yenu?
 
Mkuu, Whatever you posted was also an "opinion poll" that was conducted by InfoTrack Kenya. Shida ni uelewa wenu ama Waalimu? Kwa vile wenzako wanakushabikia bila kufikirikia angalau kidogo.
Hii ndiyo bei huko kenya
 
Nani alivifanyia utafiti kwenye Maabara vikapatikana na ugonjwa?
Kama havijafanyiwa utafiti. Jukumu ni la nani kufanyia utafiti!?
Unapovuka boda kuja TZ lazima uwe na certificate halali kuhusu vifaranga hao kuwa hawana magonjwa.
If you don't have any certificate it means, vifaranga vyako vinamatatizo.
Hatuwezi kama nchi kughalamia kufanyia utafiti vitu vya magendo.
 
Vifaranga wa siku moja walikuwa na maradhi gani ichoboy01 you people are so inhumane
Mbona tunakamata mirungi toka Kenya na kuwafunga kifungo cha maisha, wakati huko kwenu mirungi inaruhusiwa?. Sheria ya Tanzania hairuhusu mirungi wa kuingiza ndege wakiwa hai, kwanini hamuelewi?.
 
ichoboy01 joto la jiwe kama walikuwa na maradhi mngewarejesha si kuwateketeza ila siwashangai.kama hamthamini uhai wa binadamu wenzenu itakuwa wa wanyama?
Duniani kote utaratibu ni kwamba ukikamata "live birds" sheria ni kuwateketeza sio kuwarudisha. Ujinga wenu wa kutojua na kufuata sheria za kimataifa, ndio zilizowafanya muwekwe katika kundi la "failed states". Kenya hakuna sheria yoyote inayofuatwa, vinavyoongoza nchi ni Rushwa na Ukabila tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…