Mmmh. We Avatar weweeee. Haya.Nilishaandika mie,, mtu atapost mkono... Kesho goti... Atakaa atapost nywele ... Akiona bado utakuta mgongo..
Humo moote anapita anatafuta ile sehemu pendwa akishaitupia.. Baada Ya hapo ndio atatuwekea sasa karibu ⅔ ya mwili bila sura [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Mi bado msimamo wangu ni kusubiria ya hajar [emoji56] [emoji56]
Huwezi ukajiweka kwacmiaka inayo karibia mi 5 bwana hajar...Ewaaaaaaaa. Kama mie nilivyogundua kwamba Me wa Jf jinsi utakavyojiweka ndivyo watakavyokuchukulia. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sasa jee ndio maana unaleta amsha amsha hivyooMmmh. We Avatar weweeee. Haya.
Ngoja na mie nifuatilie sababu sijawahi fanya ugunduzi hizo kitu ujue. [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Duuh! Mie ya kwangu bado sanaaa.
Hahaaa. Haya mdogo wangu.Pumzi imegoma kurejea, bora niache tu nisije kuwapa tabu Madaktari bure.
Hy hy yako inatosha ,jina na avatar vinafikisha ujumbe poa sanaMmmh. We Avatar weweeee. Haya.
Ngoja na mie nifuatilie sababu sijawahi fanya ugunduzi wa hizo kitu ujue. [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Duuh! Mie ya kwangu bado sanaaa.
Hahahaaaa. Umeligundua kwa maandishi Mtani lol.
Maandishi yanatosha mtaniHahahaaaa. Umeligundua kwa maandishi Mtani lol.
Gundueni tu jamaani. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mtani Hebuuuu. [emoji12] [emoji12] Mbona huo ugunduzi mmeung'ang'ania Sa?Wanaziba sura tu siku hz
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Sasa jee ndio maana unaleta amsha amsha hivyoo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hy hy yako inatosha ,jina na avatar vinafikisha ujumbe poa sana
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Hahaha, sawa mtani ,nasubiri ulete ugunduzi wako mtaniMtani Hebuuuu. [emoji12] [emoji12] Mbona huo ugunduzi mmeung'ang'ania Sa?
Mna nini lakini. Hebu tuzidi kugundua mengine hayo ya sura tuachaneni nayo.
Avatar mok
Nijaalie hali yako mzima weye?
Mkuu una Dada ,mtu poa sana bi Hajar ,hongera sana MkuuKidogo nimetua mzigo japo sintofahamu ipo mbeleni.
Salama salamini Dada yangu.
Pia nimegundua walio wengi zile Locations walizoziandika si mahali ambapo wapo kwa sasa.Hahaha, sawa mtani ,nasubiri ulete ugunduzi wako mtani
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Hahaha, mtani mm niko Katanga ,kwa akina MakamboPia nimegundua walio wengi zile Location walizoziandika si mahali ambapo wapo kwa sasa.
Waeza jua mtu jupo Majuu kumbe tunapanda naye kifodi kila kukicha. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hongera mdogo wangu nakuombea Insha Allah basi hiyo sintofahamu iwe ni yenye kheri.Kidogo nimetua mzigo japo sintofahamu ipo mbeleni.
Salama salamini Dada yangu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Pia nimegundua walio wengi zile Locations walizoziandika si mahali ambapo wapo kwa sasa.
Waeza jua mtu jupo Majuu kumbe tunapanda naye kifodi kila kukicha na vyuma vimekaza ka sie [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaaaa. Duuuh.
Hahahaaaa. Umeona sasa.Hahaha, mtani mm niko Katanga ,kwa akina Makambo
[emoji767]101-03-821.M|T|C