Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Mmmh. We Avatar weweeee. Haya.Nilishaandika mie,, mtu atapost mkono... Kesho goti... Atakaa atapost nywele ... Akiona bado utakuta mgongo..
Humo moote anapita anatafuta ile sehemu pendwa akishaitupia.. Baada Ya hapo ndio atatuwekea sasa karibu ⅔ ya mwili bila sura [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Mi bado msimamo wangu ni kusubiria ya hajar [emoji56] [emoji56]
Ngoja na mie nifuatilie sababu sijawahi fanya ugunduzi wa hizo kitu ujue. [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Duuh! Mie ya kwangu bado sanaaa.