Utafiti wako umegundua nini hapa JF?

Utafiti wako umegundua nini hapa JF?

Nilishaandika mie,, mtu atapost mkono... Kesho goti... Atakaa atapost nywele ... Akiona bado utakuta mgongo..
Humo moote anapita anatafuta ile sehemu pendwa akishaitupia.. Baada Ya hapo ndio atatuwekea sasa karibu ⅔ ya mwili bila sura [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]

Mi bado msimamo wangu ni kusubiria ya hajar [emoji56] [emoji56]
Mmmh. We Avatar weweeee. Haya.

Ngoja na mie nifuatilie sababu sijawahi fanya ugunduzi wa hizo kitu ujue. [emoji12] [emoji12] [emoji12]


Duuh! Mie ya kwangu bado sanaaa.
 
Ewaaaaaaaa. Kama mie nilivyogundua kwamba Me wa Jf jinsi utakavyojiweka ndivyo watakavyokuchukulia. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huwezi ukajiweka kwacmiaka inayo karibia mi 5 bwana hajar...

Mbona unataka kufanya mchezo mbayaa[emoji25] [emoji25]
 
Nilichogundua.
1. Unaweza kuheshimiwa na kupewa hadhi ya kutukuka kumbe ni tofauti kabisa na uhalisia.
2. Watu tuliowazoea humu wakitaka ushauri au kusema jambo fulani ili wasijulikane au wasione aibu, huja kwa ID mpya.
3. Maneno yetu tanayoandika humu yanaakisi tabia zetu za kila siku na mara nyingine ni tofauti kabisa.
4. JF ni sehemu pekee unayoweza kupata habari kwa muda mfupi/muafaka kwa jambo fulani likitokea
5. Wengi(asilimia kubwa) waliojiunga JF kuanzia mwaka 2015 kurudi nyuma, wana elimu kuanzia Diploma hadi PhD.
 
Hahaha, sawa mtani ,nasubiri ulete ugunduzi wako mtani

[emoji767]101-03-821.M|T|C
Pia nimegundua walio wengi zile Locations walizoziandika si mahali ambapo wapo kwa sasa.

Waeza jua mtu jupo Majuu kumbe tunapanda naye kifodi kila kukicha na vyuma vimekaza ka sie [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Pia nimegundua walio wengi zile Locations walizoziandika si mahali ambapo wapo kwa sasa.

Waeza jua mtu jupo Majuu kumbe tunapanda naye kifodi kila kukicha na vyuma vimekaza ka sie [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom