Utafiti wako umegundua nini hapa JF?

Nimegundua kuwa kila mtu hapa Jf anamaisha mazur,ofic nzur na kila kitu kizur kwa kuandka...lkn ukikutanao face to face balaaaaaa tupu!
 
Looooh ndio ule ujinga kuwa kureply hazifiki.. Asante kwa taarifa.
Hapana ni mimi nilifuta chats zote za awali na kuzuia any further replys ndio maana hazifiki.
Hivyo ili zifike ni lazima uanzishe new chat.
 
Hapana ni mimi nilifuta chats zote za awali na kuzuia any further replys ndio maana hazifiki.
Hivyo ili zifike ni lazima uanzishe new chat.
Hahahahhha mi6 wangu huyoo[emoji16]
 
Mimi nimegundua sisi wakiumeni tunaongoza kwa kuomba kuwekewa picha kuliko wale wenzetu wa upande wa pili,wewe Je?
Alaa kumbe wa kiumeni n Yanga fc,wa upande wa pili watakuwa ni simba fc.wale wa pili ni pilipili kweli kweli.
 
Comment 5 za mwanzo zina influence kubwa sana kwenye comment 10-15 zinazofuata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…