Utafiti wako umegundua nini hapa JF?

Pia nimegundua Me wa jf wanajua Ke wa jf wote tunatoka dunia ya peke yetu yaani tuna sura zetu na maumbo yetu ni ya peke yetu hatufanani na walioko nje ya jf. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
costech wana taarifa juu ya utafiti huu?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pia nimegundua Me wa jf wanajua Ke wa jf wote tunatoka dunia ya peke yetu yaani tuna sura zetu na maumbo yetu ni ya peke yetu hatufanani na walioko nje ya jf. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Upo sahihi sana... Huwa najikuta napata taswira tofauti sana ninapojaribu kuitafakari ID yoyote ya ke humu jamvinj

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa hawa tuliomo mtaani ndio tumo humu ila sasa humu tunajiweka kijanja sana,matawi mno wakati mtaan wa kawaida.
Na hyo ni kwasababu ya hawa me waliomo humu kujifanya wao wanapenda wadada classic ndo mambo mkikutana huko sura zimekaa mbele nyuma mtu anashangaa utadhani kitu gani em watuache sisi ndo walewale mama ntilie wa huko kitaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…