Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni ukweli ujue Mkuu.
Yaani Me tunawaona nyie Ke wa JF kama vile hamtoi hewa chafu wala hampupu! Ni khatwar wallahUuwiiii. Yabidi tuje tukaishi huko kwa kweli maana itakuwa ni sayari bora sana kuwahi kutokea. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hebu Sesten. [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaani Me tunawaona nyie Ke wa JF kama vile hamtoi hewa chafu wala hampupu! Ni khatwar wallah
Usikimbie Hajar kuna mtaro huko utaangukaHebu Sesten. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] Khatwar hasaaa.
costech wana taarifa juu ya utafiti huu?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Pia nimegundua Me wa jf wanajua Ke wa jf wote tunatoka dunia ya peke yetu yaani tuna sura zetu na maumbo yetu ni ya peke yetu hatufanani na walioko nje ya jf. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa nimekuelewa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ni ukweli ujue Mkuu.
Ndio maana wakikutanaga huko basi lazima wengine tupate habari. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Upo sahihi sana... Huwa najikuta napata taswira tofauti sana ninapojaribu kuitafakari ID yoyote ya ke humu jamvinjPia nimegundua Me wa jf wanajua Ke wa jf wote tunatoka dunia ya peke yetu yaani tuna sura zetu na maumbo yetu ni ya peke yetu hatufanani na walioko nje ya jf. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaaaa. Staki mieeee rafiki. Lol.
Ila ndio sisi sisi wa mtaani. Rafiki umejua kunichekesha leo lol
DuhPia nimegundua Me wa jf wanajua Ke wa jf wote tunatoka dunia ya peke yetu yaani tuna sura zetu na maumbo yetu ni ya peke yetu hatufanani na walioko nje ya jf. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ubungo ktk daladala.Nimekusoma..ila sasa kama wana elimu ndo tusionane hata kwenye harakati za kawaida mfano tukiwa kwenye mwendokasi,waiting spaces kama za benki hospitali na nyinginezo??
Hao watu uliwaonea wapi mkuu??
Sent using Jamii Forums mobile app
MKUU UKO VIZURINimegundua kuwa member wa JF huwa wanatumia simu wakiwa sehemu tulivu(au wakiwa peke yao)
Maana sijawahi kumwona mtu akitumia Jf publically
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hyo ni kwasababu ya hawa me waliomo humu kujifanya wao wanapenda wadada classic ndo mambo mkikutana huko sura zimekaa mbele nyuma mtu anashangaa utadhani kitu gani em watuache sisi ndo walewale mama ntilie wa huko kitaaHawa hawa tuliomo mtaani ndio tumo humu ila sasa humu tunajiweka kijanja sana,matawi mno wakati mtaan wa kawaida.
Ni pale utakuta mtu anaisema vibaya tecno wakati mdo anatumia hahaha Jf shkamooNimegundua memba wa JF wote wana magari, nyumba, simu za Iphone, madem wakali, kila mtu ana degree na kila sifa nzuri.
Jf kibokoo
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hyo ni kwasababu ya hawa me waliomo humu kujifanya wao wanapenda wadada classic ndo mambo mkikutana huko sura zimekaa mbele nyuma mtu anashangaa utadhani kitu gani em watuache sisi ndo walewale mama ntilie wa huko kitaa
Sent using Jamii Forums mobile app