Wasituchoshe mie nipike uji nishindwe kutembeza mtaani eti kisa jf chaa π nikale wapi sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kabisaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]costech wana taarifa juu ya utafiti huu?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante [emoji120] [emoji120] [emoji120]Hapa nimekuelewa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama Hajar hapa ukiniwazia basi washindwa uniweke wapi nienee. [emoji23] [emoji23] [emoji23]Upo sahihi sana... Huwa najikuta napata taswira tofauti sana ninapojaribu kuitafakari ID yoyote ya ke humu jamvinj
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaaaa. Umeonaeeee.Hawa hawa tuliomo mtaani ndio tumo humu ila sasa humu tunajiweka kijanja sana,matawi mno wakati mtaan wa kawaida.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ni kweli ujue Mtani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimegundua memba wa JF wote wana magari, nyumba, simu za Iphone, madem wakali, kila mtu ana degree na kila sifa nzuri.
Jf kibokoo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa. Hatari sana rafiki.Na hyo ni kwasababu ya hawa me waliomo humu kujifanya wao wanapenda wadada classic ndo mambo mkikutana huko sura zimekaa mbele nyuma mtu anashangaa utadhani kitu gani em watuache sisi ndo walewale mama ntilie wa huko kitaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Heeeee. Jamaaaaani.Nimegundua Dada wetu wa kazi nyumbani ndo 'slay queen' wa humu ndani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Marahaba mkuu haujamboNi pale utakuta mtu anaisema vibaya tecno wakati mdo anatumia hahaha Jf shkamoo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ooh kumbe mnakua mshaonana sio? Hahaha mtani umenifurahisha[emoji23] [emoji23] [emoji23] ni kweli ujue Mtani.
Ndio maana baadhi huwa wanatusemaga tuna flat screen , mara sura za baba zetu basi tafrani wakati na huko mtaani pia wa hivyo wapo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We unadhani zinaletwaga na nini Mtani ni huko kuonana ndio chanzo cha yote maana mtu anakuwa na sura yake kichwani sasa akija ona ni tofauti basi ndio mtihani unaanzia hapo.
Hahaha, ngoja siku nikuone ukiniletea zaga zaga zangu ,uje kunianzishia Uzi[emoji23] [emoji23]We unadhani zinaletwaga na nini Mtani ni huko kuonana ndio chanzo cha yote maana mtu anakuwa na sura yake kichwani sasa akija ona ni tofauti basi ndio mtihani unaanzia hapo.
Kwa nn mkuu