Utafiti wako umegundua nini hapa JF?

Utafiti wako umegundua nini hapa JF?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] ni kweli ujue Mtani.

Ndio maana baadhi huwa wanatusemaga tuna flat screen , mara sura za baba zetu basi tafrani wakati na huko mtaani pia wa hivyo wapo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ooh kumbe mnakua mshaonana sio? Hahaha mtani umenifurahisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We unadhani zinaletwaga na nini Mtani ni huko kuonana ndio chanzo cha yote maana mtu anakuwa na sura yake kichwani sasa akija ona ni tofauti basi ndio mtihani unaanzia hapo.
Hahaha, ngoja siku nikuone ukiniletea zaga zaga zangu ,uje kunianzishia Uzi[emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom