Utafiti wako umegundua nini hapa JF?

Mkuu, umesema kweli.

Pia nimegundua, people can easily fall in love with 'avatar' , hahahah
 
~wengi wako smart kichwani
~tena ni hard worker
~baadhi ni from zero to hero
~wengine wanapenda waonekane wako kwenye 'system'
~kuna wapenda 'like' tu

*na Gentamycine anaogopwa kuliko yule kamanda wa 'watapata tabu sana'

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kumbe kuna watu humu mko busy kutafiti[emoji848] mimi sijagundua chochote na sina mpango wa kutafiti lolote humu[emoji53]
 
Hawa hawa tuliomo mtaani ndio tumo humu ila sasa humu tunajiweka kijanja sana,matawi mno wakati mtaan wa kawaida.
kila mtu humu anajinadi maisha yake ni mazuri" lakini ajabu ukianzishwa uzi wakuwataka watumishi wa serikali waongezewe mishahara"" basii unakutana na watu kibao wanaolalamika kuwa serikali imewasusa " wakati wanahali ngumu " etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…