Utafiti wako umegundua nini hapa JF?

Mwenye namba yangu anipigie simu 'aseme nina emergency nahitajika haraka sehemu ' Nimekutana na mtu wa Forever huwa namheshimu sana nashindwa kumkimbia jamani anaongea hadi nasikia kizunguzungu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwenye namba yangu anipigie simu 'aseme nina emergency nahitajika haraka sehemu ' Nimekutana na mtu wa Forever huwa namheshimu sana nashindwa kumkimbia jamani anaongea hadi nasikia kizunguzungu
 
Nimegundua kuwa watumiaji wengi wa JF ni watu wazima
wengi wameoa, kuolewa
Pia nimegundua mtumiaji yeyote wa JF hukaa sehem tulivu akiwa JF pia humu JF kuna watu wanapesa mnooo ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…