witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Upungufu wa akili...humu wengi wana stress yaanHapo sasa,yaan mtu anajikunja kuanzisha uzi kisa kaonana na member wa JF tofauti na picha aliyomjengea
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upungufu wa akili...humu wengi wana stress yaanHapo sasa,yaan mtu anajikunja kuanzisha uzi kisa kaonana na member wa JF tofauti na picha aliyomjengea
Hivi we mtoto kwanini unapenda kuniita mtoto? Hutaki kufaidi mafao yangu ya pensheni?[emoji124][emoji124][emoji124] eti mamsapu ila wewe babu kijanaView attachment 843576
Hujaamia masaki bado?Hahaha
Witi mi sina gar, wala nyumba.
Nimepanga kinondoni tu hapa, jina ki honda Click tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi we mtoto kwanini unapenda kuniita mtoto? Hutaki kufaidi mafao yangu ya pensheni?
Bado, but soon!Hujaamia masaki bado?
Vip California unahamia lini?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122]
General shimboni[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
I told ya![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122]Bado, but soon!
California nako soon as possible
Tuna mandoto makubwa kubwaaa!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, naomba nikugundue wewe...tehteehh
Teeh tehh teen....mgumba kajifungua mbeleko 24/7[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu, naomba nikugundue wewe...tehteehh
Kumbe ndomaana hapa mtaani kweli hapaishi kuanikwa mbeleko, hata kama hazija chafuka....tehteehh [emoji12] [emoji12] [emoji12]Teeh tehh teen....mgumba kajifungua mbeleko 24/7[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Bwaahahaaaahaaa uwiii chizi wee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kumbe ndomaana hapa mtaani kweli hapaishi kuanikwa mbeleko, hata kama hazija chafuka....tehteehh [emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwajinsi mnavyo mjua huyo mgumba....Bwaahahaaaahaaa uwiii chizi wee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huyu mgumba bana toka ajifungue kero kwelikweli mtaani....akisikia sufuria imedondoka anabwatuka sio mwanangu huyo[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...woyoooooo
Sent using Jamii Forums mobile app
Haaahaaa haaa....haswaaKwajinsi mnavyo mjua huyo mgumba....
Yaani minahisi wewe ndie utakua yule tunae mzungumzia......[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi mimi ndie mume wake na mgumba....[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Aseeee[emoji15] [emoji15] [emoji15] ...nimeshindwa kushanga!..amazed!Basi mimi ndie mume wake na mgumba....[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Sent using Jamii Forums mobile app
NDIYO HIVYO MKUUhahaaa hahaaaa alikupiga kibuti baada ya kumwambia kuwa wewe ni mkulima ""?? ..daaah Jf kuna visa wallah