mtu watu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 2,123
- 1,617
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huijui jf ya zamani vizuri wewe, ushilawadu humu upo tangu kitambo.Nimegundua jf ya sasa wanapenda ushalawadu na ubuyu sana
Tofauti na jf ya zamani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Pia nimegundua Me wa jf wanajua Ke wa jf wote tunatoka dunia ya peke yetu yaani tuna sura zetu na maumbo yetu ni ya peke yetu hatufanani na walioko nje ya jf. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unadhani Dada walio wengi ndio mawazo yao hayo. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani nimecheka.
Eti kwa vile tuna sura za baba zetu basi na kucomment tucoment kiupoleee ili ziendane na sura zetu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Unadhani Dada walio wengi ndio mawazo yao hayo. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa kuongezea mtu akikuhisi wewe ni member wa JF, anakuchuulia utofauti sana! Kuna darasa flani nawapiga pindi, wamejua mimi ni member wa jf, daah, imenletea usumbufu sana!Nimegundua kuwa member wa JF huwa wanatumia simu wakiwa sehemu tulivu(au wakiwa peke yao)
Maana sijawahi kumwona mtu akitumia Jf publically
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamaani Zahra nao wataka Madolari atiiii.Wadada wengi humu wanapenda pesa, hasa wakigundua mwanaume ana dollars pm hazikauki.
Hawajibu, hatojibu na hizo pesa hamtopata.Tafuteni mabwana wenu.
Hahahaaaa. Si ndio hapo sasa Dada.Eti kwa vile tuna sura za baba zetu basi na kucomment tucoment kiupoleee ili ziendane na sura zetu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
WordKabisa mdogo wangu zidi kuwa hivyo mwaya. Sababu wapo wengine nia zao ni kuchafua wengine tu.
Yaani hawajafuata kuelimika na kupata maarifa zaidi ndani ya JF.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama wale wa picha za kuchora,wazuriiii hawana hata kovu la ndui
Nakazia mkuuMimi nimegundua kuna baadhi ya member wamekuwa addicted na Jf kama mimi, yaani JF ikikosekana hewani hata kwa nusu saa kuna asilimia ya wana JF isiyopungua 10 huteseka na kusononeka kabisa.
HahahahaWadada wengi humu wanapenda pesa, hasa wakigundua mwanaume ana dollars pm hazikauki.
Hawajibu, hatojibu na hizo pesa hamtopata.Tafuteni mabwana wenu.
Naona kapiga jiwe gizani ,dah ndio maana natafuta sana hz $ na £ ,ukiwa nazo PM inajaa salam [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamaani Zahra nao wataka Madolari atiiii.
Ila nimecheka kwa kweli. Maana huu ni ugunduzi Matata sana.