Utafiti wako umegundua nini hapa JF?

Utafiti wako umegundua nini hapa JF?

Nimegundua hatuna hiyo sifa ya 'u-great thinker ".. Wengi wetu tunavuta siti ya mbele au kuwahi siti ya mbele na wakati mwingine tuna comment" nitarudi " kuchangia Mada na huwa haturudi Tena.
Wengi ni wavivu wa kufikiri wanaosubiria tabaka la watu flani wachambue Mada waandike uzi.. Alafu wao kazi yao kupita pale kwenye uzi wake na kutoa cheap comments za kejeli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pia nimegundua Me wa jf wanajua Ke wa jf wote tunatoka dunia ya peke yetu yaani tuna sura zetu na maumbo yetu ni ya peke yetu hatufanani na walioko nje ya jf. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani nimecheka.
 
Nimegundua kuwa member wa JF huwa wanatumia simu wakiwa sehemu tulivu(au wakiwa peke yao)

Maana sijawahi kumwona mtu akitumia Jf publically

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kuongezea mtu akikuhisi wewe ni member wa JF, anakuchuulia utofauti sana! Kuna darasa flani nawapiga pindi, wamejua mimi ni member wa jf, daah, imenletea usumbufu sana!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamaani Zahra nao wataka Madolari atiiii.

Ila nimecheka kwa kweli. Maana huu ni ugunduzi Matata sana.
Naona kapiga jiwe gizani ,dah ndio maana natafuta sana hz $ na £ ,ukiwa nazo PM inajaa salam [emoji23] [emoji23] [emoji23]

[emoji767]101-03-821.M|T|C
 
Back
Top Bottom