Utafiti wako umegundua nini hapa JF?

Utafiti wako umegundua nini hapa JF?

Pia nimegundua Me wa jf wanajua Ke wa jf wote tunatoka dunia ya peke yetu yaani tuna sura zetu na maumbo yetu ni ya peke yetu hatufanani na walioko nje ya jf. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hahaha, wadada JF mna mambo, naona kijembe cha juu kwa juu hicho

Ngoja nami nizitafute $ ,Β£ ziwe nyingi nione km ,huwa ni kweli ,usemalo [emoji23]

[emoji767]101-03-821.M|T|C
Hahaaaaa. Kama wanammendea Bebi wake afanyeje zaidi ya kufanya ugunduzi na akagundua kwamba watu wanajipeleka kwa Waziri Mkuu kisa ana Madolari.

Zitafute aiseee Mtani, najua hatokosekana wa kutupa kijembe ka hivi. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahaha, mtani mie uzuri sio mkali ki hivyo

[emoji767]101-03-821.M|T|C
 
Mmmh, mtani bana,hizo fani za watu ujue [emoji23] [emoji23] ,halafu watakua wanakuja kuzichota tu ,hkn mahaba
kwanza mtani mnacheza lini

[emoji767]101-03-821.M|T|C
Hahaa. Eti fani za watu lol.

Hahahaaaa. Kabisaaaa wala si uongo Mtani.

I think Jumapili japo sina hakika Mtani maana nyie mwacheza jumamosi.
 
Back
Top Bottom