Choco-late
Member
- Apr 10, 2016
- 28
- 14
πππPia nimegundua Me wa jf wanajua Ke wa jf wote tunatoka dunia ya peke yetu yaani tuna sura zetu na maumbo yetu ni ya peke yetu hatufanani na walioko nje ya jf. ππππππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
πππPia nimegundua Me wa jf wanajua Ke wa jf wote tunatoka dunia ya peke yetu yaani tuna sura zetu na maumbo yetu ni ya peke yetu hatufanani na walioko nje ya jf. ππππππ
Hahaaa. Kabisaaa na limeshampata mtu hapo.Naona kapiga jiwe gizani ,dah ndio maana natafuta sana hz $ na Β£ ,ukiwa nazo PM inajaa salam [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Hahaha, wadada JF mna mambo, naona kijembe cha juu kwa juu hichoHahaaa. Kabisaaa na limeshampata mtu hapo.
Na kweli itajaa Mtani. [emoji23][emoji23]
Hahaaaaa. Kama wanammendea Bebi wake afanyeje zaidi ya kufanya ugunduzi na akagundua kwamba watu wanajipeleka kwa Waziri Mkuu kisa ana Madolari.Hahaha, wadada JF mna mambo, naona kijembe cha juu kwa juu hicho
Ngoja nami nizitafute $ ,Β£ ziwe nyingi nione km ,huwa ni kweli ,usemalo [emoji23]
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Hahaha, mtani mie uzuri sio mkali ki hivyoHahaaaaa. Kama wanammendea Bebi wake afanyeje zaidi ya kufanya ugunduzi na akagundua kwamba watu wanajipeleka kwa Waziri Mkuu kisa ana Madolari.
Zitafute aiseee Mtani, najua hatokosekana wa kutupa kijembe ka hivi. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ukiwa na Madolari ukali unakuja wenyewe Mtani. [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha, mtani mie uzuri sio mkali ki hivyo
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Mmmh, mtani bana,hizo fani za watu ujue [emoji23] [emoji23] ,halafu watakua wanakuja kuzichota tu ,hkn mahabaUkiwa na Madolari ukali unakuja wenyewe Mtani. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Oh,Pia nimegundua Me wa jf wanajua Ke wa jf wote tunatoka dunia ya peke yetu yaani tuna sura zetu na maumbo yetu ni ya peke yetu hatufanani na walioko nje ya jf. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakupenda sana dada[emoji16]Hahahaaaa. Chunguza tu kukianza kuchafuka majukwaani Mtani ndio utajua kila tunalolifanya humu jf basi umakini ni muhimu.
Hahaa. Eti fani za watu lol.Mmmh, mtani bana,hizo fani za watu ujue [emoji23] [emoji23] ,halafu watakua wanakuja kuzichota tu ,hkn mahaba
kwanza mtani mnacheza lini
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Wanakuambiaje mkuu??Kwa kuongezea mtu akikuhisi wewe ni member wa JF, anakuchuulia utofauti sana! Kuna darasa flani nawapiga pindi, wamejua mimi ni member wa jf, daah, imenletea usumbufu sana!
Ndio Kaka. πππ
Hahaha hizo kitu zina wenyewe ,ni fani atiHahaa. Eti fani za watu lol.
Hahahaaaa. Kabisaaaa wala si uongo Mtani.
I think Jumapili japo sina hakika Mtani maana nyie mwacheza jumamosi.