Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Ahsante Kaka. ๐๐๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante Kaka. ๐๐๐
Hahaaaa. Mie pia nimeligundua hilo ujue maana na mie niliandika makorokocho.NIKIFUMBA MACHO SIWEZI KUANDIKA CHITCHAT NA JAMII FORUMS
Pilau umekula peke akoAhsante Kaka. [emoji120][emoji120][emoji120]
๐๐๐๐ haya Mtani ila nahisi kama weye ni mchungu. ๐๐๐Hahaha hizo kitu zina wenyewe ,ni fani ati
Sio j3 ,TFF si walibadili ratiba ?
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Mi nimegundua wewe ni mwizi wa watoto wa watuMimi nimegundua sisi wakiumeni tunaongoza kwa kuomba kuwekewa picha kuliko wale wenzetu wa upande wa pili,wewe Je?
Duuh! Acha tu Kaka. Nkasahau na mie kukukaribisha.
HAHAHA MI MWENYEWE NILISHINDWAHahaaaa. Mie pia nimeligundua hilo ujue maana na mie niliandika makorokocho.
Ilikua poa, jikoni nlikuwa mwenyeweDuuh! Acha tu Kaka. Nkasahau na mie kukukaribisha.
Vp lakini huko mliko na nyie ilikwenda salama?
Mchungu kivipi tena mtani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya Mtani ila nahisi kama weye ni mchungu. [emoji12][emoji12][emoji12]
Basi itakuwa hivyo mtani.
HAHAHA MI MWENYEWE NILISHINDWA
Duuh. Pole kaka ake.
Pole ya nn? Nipe hongera ya kukarangizaDuuh. Pole kaka ake.
Kikubwa Sikukuu imepita kaka.
DAH KWELIWalioweza wengi hawakufumba macho au labda kama walitumia PC.
Yaani mkono wako wa birika ๐๐Mchungu kivipi tena mtani?
Mtani mie niko mbali na huko,ila nasoma tu mitandaoni kuwa tff wamebadili ratiba ,kupisha mechi za watoto ( sijui kweli au la)
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Ooh. Hongera Kaka ake.
HahahaMm nimegundua waganga wa kienyeji wanaogope kuliko masheik na ma pastor.. humu ukiwa mganga ni ganda la ndizi full mserereko.
Sent using Jamii Forums mobile app