Utafiti wako umegundua nini hapa JF?

Utafiti wako umegundua nini hapa JF?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya Mtani ila nahisi kama weye ni mchungu. [emoji12][emoji12][emoji12]

Basi itakuwa hivyo mtani.
Mchungu kivipi tena mtani?

Mtani mie niko mbali na huko,ila nasoma tu mitandaoni kuwa tff wamebadili ratiba ,kupisha mechi za watoto ( sijui kweli au la)

[emoji767]101-03-821.M|T|C
 
Mchungu kivipi tena mtani?

Mtani mie niko mbali na huko,ila nasoma tu mitandaoni kuwa tff wamebadili ratiba ,kupisha mechi za watoto ( sijui kweli au la)

[emoji767]101-03-821.M|T|C
Yaani mkono wako wa birika ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Ooh. Basi Mtani tutajua kesho kama ni jumapili au hiyo jumatatu.
 
Back
Top Bottom