Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahaahaaa. Zimefika Mtani.Hahaha, we uko juu bana,wasalimie Antwerp na Brussels huko.
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaahaaa. Zimefika Mtani.Hahaha, we uko juu bana,wasalimie Antwerp na Brussels huko.
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Safi mtani, aminiaHahaahaaa. Zimefika Mtani.
😀😀😀Hahaha, mtani mm niko Katanga ,kwa akina Makambo
[emoji767]101-03-821.M|T|C
😀😀😀Mimi naandika nipo Sayari ya Jupiter kabisa.
Naona Duniani naambiwa tunazunguka lakini sifiki hata Dubai[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Samata anaendeleaje?Hahahaaaaa. Wacha weeee.
Mie niko Belgium bana Mtani [emoji85] [emoji85] Teh teh teh
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hahaaaaa. Yuko Poa aiseee.Samata anaendeleaje?
Naskia kuna baridi sana huko sijui kama ntaiweza! Au ntasaidiwa kupambana nayo😛😎😉Hahaaaaa. Yuko Poa aiseee.
Ufanye na weye uje banaa. [emoji12] [emoji12]
Pia nimegundua Me wa jf wanajua Ke wa jf wote tunatoka dunia ya peke yetu yaani tuna sura zetu na maumbo yetu ni ya peke yetu hatufanani na walioko nje ya jf. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tanteee Hajar, ushanitamanisha safari ya Belgium ujue, sijui drimlaina yetu inafika huko?😛😛😛[emoji23] [emoji23] [emoji23] Utasaidiwa kwa kweli namna ya kupambana nalo hilo baridi. [emoji12] [emoji12]
Karibu Sesten.
Ngoja nifuatilie nijue Sesten.Tanteee Hajar, ushanitamanisha safari ya Belgium ujue, sijui drimlaina yetu inafika huko?😛😛😛
Twende December X Mass holiday [emoji23] [emoji23]Tanteee Hajar, ushanitamanisha safari ya Belgium ujue, sijui drimlaina yetu inafika huko?😛😛😛
Tena kipindi hicho ndio baridi imeshika kasi sana mkuu ingawa hapo Hajar kaniahidi tatizo langu hilo atahakikisha analipatia ufumbizi kwa ukamilifu😛😎😀Twende December X Mass holiday [emoji23] [emoji23]
[emoji767]101-03-821.M|T|C
HahahaTena kipindi hicho ndio baridi imeshika kasi sana mkuu ingawa hapo Hajar kaniahidi tatizo langu hilo atahakikisha analipatia ufumbizi kwa ukamilifu😛😎😀
Muwe kama wa wale kwenye filamu rafiki[emoji3]Yaaani unaweza baki mdomo wazi aisee.
Unajuiliza kwani wanawake wajf tunapaswa tuweje? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kama ulikuwa kwenye kichwa changu, na zile za kuuza na kubadlishana sarafu[emoji16][emoji16]NYUZI ZA KILIMO UFUGAJI HAZITREND KAMA ILIVYOKUWA MWAKA JANA
Kweli maisha yamekuwa magumu watu wameamua bora wajiliwazeKama ulikuwa kwenye kichwa changu, na zile za kuuza na kubadlishana sarafu[emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app