BigTall
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 525
- 1,257
Utafiti uliofanywa hivi karibuni umebaini kuwa kumkumbatia mtu kunaweza kuchangia kupunguza msogo wa mawazo kwa Wanawake.
Wanawake 76 waliofanyiwa utafiti wa kisayansi na Kituo cha PLOS One wameonesha kuwa wanapowakumbatia wenza wao au watu wanaowapenda pindi wanapokuwa na msongo wa mawazo wamekuwa wakifarijika
Wanaume waliofanyiwa utafiti huo hawakuonekana kuwa na hisika kama zinazowapata wanawake.
“Utafiti umefanyika kwa watu wachache lakini umeonesha kitu kikubwa katika muunganiko wa kisayansi,” anasema Kory Floyd ambaye ni Profesa wa Mawasiliano katika Chuo Kikuu cha Arizona, japokuwa hakushiriki katika utafiti huo.
Chanzo: CNN