UTAFITI WANGU: Kwanini wanafunzi wengi (jinsia zote) wenye maendeleo mabaya shuleni huwa ni watu wa kujituma sana katika shughuli ngumu za nyumbani?

Kujituma kwenye kazi ni mtu mwenyewe tu plasi malezi ya nyumbani kwao binafsi mimi darasani nilikuwa wa kawaida lakini kwenye kazi napiga kazi mpaka watu wanakereka yani kiufupi ni mtu wa kujituma mpaka wazazi wangu wanalitambua hilo jambo
 
Hii ni nature ya binadamu karibia wote...

Ndio hivyo mkuu, hapo mzazi anatoa complement Infantry Soldier ni kipanga darasani, anawakimbiza sana wenzake huko. Pia anaendelea Beautiful nkoskana ni mchapa kazi sana, hata nikisafiri wiki nzima nyumbani nina amani wadogo zake watakula na kuogeshwa na usafi utafanyika vizuri. Ndio hivyo inavyokuwa.
 
Kuna connection kubwa sana kati ya uchapakazu na akili za darasani pia ndio maana nchi ziliziendelea zina uchapakazi mkubwa na ndio pia wanaongoza kwa uwezo kielimu
Uchapa kazi kama upi?
 
Sio kwamba ninakuwa nimeshajijua bali ndio nilivyozaliwa. Kila nikijitahidi ku-balance ninashindwa.

Wanafunzi bright sana shuleni ni wavivu wakubwa wa kazi za nyumbani.
Mkuu kwani hujui kua wavivu ndio waliogundua Machines

Kimsingi ni wavivu kwa maana ya physical works ila ni wachapakazi wa kuchakata taarifa kupitia mbongo zao


Mimi mwenyewe kwakweli hua sipendi physical work ila napenda zile soft work za kuchakata data
 
Hahaha hizo hasira watazionyesha kwa lissu kutokana na kusaliti Nchi yetu.
 
Sijui kwann nimejikuta nasononeka moyon baada ya kusoma hii post.
Anyways, kikubwa uzima.
 
Tunashukuru Tanzania tumepata Rais Mzalendo anayeipenda Nchi yake Asante Magufuli.
 
Watanzania hatutaki siasa chafu wajifunze siasa safi za Magufuli hao Wapinzani.
 
Rais Magufuli anatoa funzo kubwa kwa CHADEMA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…