Bongo senior
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 757
- 1,526
Bado swali kinabaki pale pale hao wa maduka ya madawa wanamuuzia nani na ushasema hakuna anaetumia condomsMaduka ya madawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado swali kinabaki pale pale hao wa maduka ya madawa wanamuuzia nani na ushasema hakuna anaetumia condomsMaduka ya madawa
SawaHuwa zinakaa mfukoni mkifika gheto inasahulika
Amesema kwamba siku hizi hakuna anayetumia condom. Ndo nazid kuuliza huko kwenye maduka ya dawa ni nani aranunua kama sio hao hao binadamu anaosema siku hizi hawatumii?Maduka ya madawa
Ngoja tui break vipande vipande hi:-Wanachukua kwenda kuuza ,hakuna mtu anatumia condom siku hizi
Wananunua ila wakifika chumbani wanajitoa ufahamu wanatelezaAmesema kwamba siku hizi hakuna anayetumia condom. Ndo nazid kuuliza huko kwenye maduka ya dawa ni nani aranunua kama sio hao hao binadamu anaosema siku hizi hawatumii?
Wananunua ila mkifika chumbani ni mwendo wakuteleza tu unashangaa imekuwakuwaje hamjavaaNgoja tui break vipande vipande hi:-
1. Wanachukua kwenda kuziuza
2. Hakuna mtu anaetumia condom siku hizi
Umeniacha na maswali hapa mkuu; wanauziwa viumbe wepi? Kama ni watu, wewe mwenyewe umeisha sema, hakuna mtu anaetumia condom siku hizi; wateja hawa wana nunua za nini?🤔
DaaWananunua ila mkifika chumbani ni mwendo wakuteleza tu unashangaa imekuwakuwaje hamjavaa
Leta condom kazini kwangu na mimi nitafitiMojawapo ya health education na health promotion stretegies dhidi ya kujikinga na ugonjwa sugu na mkali wa HIV/AIDS ni upatikanaji na utoaji wa elimu ya Kondom Makazini; kwani hawa wafanyakazi wanakaa pamoja mda mrefu almost kila weekdays (5 days) na mara nyingine wanasafiri pamoja na kulala hotel moja.
Kwa muda mrefu nimeona kwenye ofisi nyingi nilipofanya kazi Kondom zikiwekwa chooni ila baada ya muda zinapotea huku kwenye pipa la taka sizioni kwamba labda zilitupwa kule. Pia nikataka kujua ni kwa muda gani hilo box zima la kondom linakuwa limeisha au zinachukuliwa na wafanyakazi na je wakizichukua wanazifanyia nini?
Basi mwezi wa nane (Aug 2024) Nikaamua kufanya observation research ya swali langu la kwanza; je wafanyakazi wanachukuaga hizo Kondom na kama ndio kwa speed ipi ya uchukuaji at least kwa mwezi,huku nikitumia time series periodic methodology kama ifuatavyo (Please angalia matokeo kwenye picha chini)
1) DAY 1 of observation: Tarehe 2 Aug 2024, siku box zima lililojaa condom liliwekwa; full package of condoms
2)DAY 2 of observation: tarehe 12 Aug 2023, siku nilipofuatila upunguaji wa Condoma mara ya kwanza baada ya siku kumi, nilikuta asilimia kama 70% ya Kondoms hazipo, zimechukuliwa
3) DAY 3 of observation: ilikuwa tarehe 28 Aug 2024: Do sikuamini macho yangu box lote la condom lilikuwa tupu, hakuna hata condom moja. yaani ni bozi tu lilikuwa pale kwenye karibu na sinki la maji
Ndugu mwan JF, Sihitaji kukutajia observation ya findings kwani picha hapa chini zinajieleza zenyewe kwa kila tarehe ya observation. Kulikuwa na uchukuaji mkubwa wa Kondoms kwa wafanyakazi, speed ilikuwa kubwa na nzuri, ni balaa na nikiangalia idadi ya wafanyakazi ofisini tuko si chini ya 12, kwa hiyo kati ya box lenye Kondom 100 kwa watu 12 inaonyesha at least kila mtu aliambulia kondom 8-10.
Hitimisho la utafiti wa swali la kwanza ni kwamba sehemu za makazini zinaweza kuwa avenue nzuri ya kusambaza Kondom ,kwani utafiti umeonyesha wafanyakazi ni wazuri kwenye kuchukua Kondoms za kutosha hasa kama zikiwekwa sehemu ambayo imejificha (private).
LIMIATATION OF THE RESEARCH: Ila ninatoa angalizo, hii ilikuwa ni simple time series observation research kujibu suala la uchukuaji , ila hii findings haiwezi kujibu maswali mengine ; kwa mfano matumizi ya Kondoms hizo, je wanapozichukua wanazipeleka wapi? je speed kubwa ya uchukuaji Kondom inamaanisha ndiyo speed kubwa ya matumizi ya Kondom?, pia inawezekana ni kicheche mmoja au wanne tu ndani ya ofisi ndio wanachukua hizi Kondom kila siku, kwa hiyo huwezi kugeneralize uchukuaji Kondoms kwa uwiano kwa wafanyakazi wote. Majibu ya maswali haya yatahitaji utafiti mwingine ambao hata methodology yake itabidi ibadilike either through survey using structure questionnaire au Key informant interview au tailored focus groups.
Hitimisho: sehemu za kazi zinaweza kufaa kutumika kama platform au avenue nzuri ya kugawa na kusambaza Kondom ili kujikinga na ugonjwa wa HIV/AIDS pamoja na STD, Ila utafiti mwingine unahitajika kujibu maswali ya baada ya kuchukua Kondom ni kitu gani kinafuatia (the what next?)View attachment 3091409View attachment 3091410View attachment 3091411.
Je wewe unasemaje kuhusu utafiti huu, njia iliyotumika na uwezo ndogo wa utafiti huu kutojibu maswali ya what next after taking Kondoms?
Kumbe ndiyo umekuja kutoa siri za ofisi huku na ulianzia kulalamika ofisi nshakujuwaMojawapo ya health education na health promotion stretegies dhidi ya kujikinga na ugonjwa sugu na mkali wa HIV/AIDS ni upatikanaji na utoaji wa elimu ya Kondom Makazini; kwani hawa wafanyakazi wanakaa pamoja mda mrefu almost kila weekdays (5 days) na mara nyingine wanasafiri pamoja na kulala hotel moja.
Kwa muda mrefu nimeona kwenye ofisi nyingi nilipofanya kazi Kondom zikiwekwa chooni ila baada ya muda zinapotea huku kwenye pipa la taka sizioni kwamba labda zilitupwa kule. Pia nikataka kujua ni kwa muda gani hilo box zima la kondom linakuwa limeisha au zinachukuliwa na wafanyakazi na je wakizichukua wanazifanyia nini?
Basi mwezi wa nane (Aug 2024) Nikaamua kufanya observation research ya swali langu la kwanza; je wafanyakazi wanachukuaga hizo Kondom na kama ndio kwa speed ipi ya uchukuaji at least kwa mwezi,huku nikitumia time series periodic methodology kama ifuatavyo (Please angalia matokeo kwenye picha chini)
1) DAY 1 of observation: Tarehe 2 Aug 2024, siku box zima lililojaa condom liliwekwa; full package of condoms
2)DAY 2 of observation: tarehe 12 Aug 2023, siku nilipofuatila upunguaji wa Condoma mara ya kwanza baada ya siku kumi, nilikuta asilimia kama 70% ya Kondoms hazipo, zimechukuliwa
3) DAY 3 of observation: ilikuwa tarehe 28 Aug 2024: Do sikuamini macho yangu box lote la condom lilikuwa tupu, hakuna hata condom moja. yaani ni bozi tu lilikuwa pale kwenye karibu na sinki la maji
Ndugu mwan JF, Sihitaji kukutajia observation ya findings kwani picha hapa chini zinajieleza zenyewe kwa kila tarehe ya observation. Kulikuwa na uchukuaji mkubwa wa Kondoms kwa wafanyakazi, speed ilikuwa kubwa na nzuri, ni balaa na nikiangalia idadi ya wafanyakazi ofisini tuko si chini ya 12, kwa hiyo kati ya box lenye Kondom 100 kwa watu 12 inaonyesha at least kila mtu aliambulia kondom 8-10.
Hitimisho la utafiti wa swali la kwanza ni kwamba sehemu za makazini zinaweza kuwa avenue nzuri ya kusambaza Kondom ,kwani utafiti umeonyesha wafanyakazi ni wazuri kwenye kuchukua Kondoms za kutosha hasa kama zikiwekwa sehemu ambayo imejificha (private).
LIMIATATION OF THE RESEARCH: Ila ninatoa angalizo, hii ilikuwa ni simple time series observation research kujibu suala la uchukuaji , ila hii findings haiwezi kujibu maswali mengine ; kwa mfano matumizi ya Kondoms hizo, je wanapozichukua wanazipeleka wapi? je speed kubwa ya uchukuaji Kondom inamaanisha ndiyo speed kubwa ya matumizi ya Kondom?, pia inawezekana ni kicheche mmoja au wanne tu ndani ya ofisi ndio wanachukua hizi Kondom kila siku, kwa hiyo huwezi kugeneralize uchukuaji Kondoms kwa uwiano kwa wafanyakazi wote. Majibu ya maswali haya yatahitaji utafiti mwingine ambao hata methodology yake itabidi ibadilike either through survey using structure questionnaire au Key informant interview au tailored focus groups.
Hitimisho: sehemu za kazi zinaweza kufaa kutumika kama platform au avenue nzuri ya kugawa na kusambaza Kondom ili kujikinga na ugonjwa wa HIV/AIDS pamoja na STD, Ila utafiti mwingine unahitajika kujibu maswali ya baada ya kuchukua Kondom ni kitu gani kinafuatia (the what next?)View attachment 3091409View attachment 3091410View attachment 3091411.
Je wewe unasemaje kuhusu utafiti huu, njia iliyotumika na uwezo ndogo wa utafiti huu kutojibu maswali ya what next after taking Kondoms?
Wanamuuzia nani kama hakuna anaetumia condom siku hizi?Wanachukua kwenda kuuza ,hakuna mtu anatumia condom siku hizi
Upo vizuri ila umewasahau wafanya usafi na kama hicho choo hawatumii staff tu ni public toilet kuna watu wa nje na hapo akiwemo customer kuchukua condomMojawapo ya health education na health promotion stretegies dhidi ya kujikinga na ugonjwa sugu na mkali wa HIV/AIDS ni upatikanaji na utoaji wa elimu ya Kondom Makazini; kwani hawa wafanyakazi wanakaa pamoja mda mrefu almost kila weekdays (5 days) na mara nyingine wanasafiri pamoja na kulala hotel moja.
Kwa muda mrefu nimeona kwenye ofisi nyingi nilipofanya kazi Kondom zikiwekwa chooni ila baada ya muda zinapotea huku kwenye pipa la taka sizioni kwamba labda zilitupwa kule. Pia nikataka kujua ni kwa muda gani hilo box zima la kondom linakuwa limeisha au zinachukuliwa na wafanyakazi na je wakizichukua wanazifanyia nini?
Basi mwezi wa nane (Aug 2024) Nikaamua kufanya observation research ya swali langu la kwanza; je wafanyakazi wanachukuaga hizo Kondom na kama ndio kwa speed ipi ya uchukuaji at least kwa mwezi,huku nikitumia time series periodic methodology kama ifuatavyo (Please angalia matokeo kwenye picha chini)
1) DAY 1 of observation: Tarehe 2 Aug 2024, siku box zima lililojaa condom liliwekwa; full package of condoms
2)DAY 2 of observation: tarehe 12 Aug 2023, siku nilipofuatila upunguaji wa Condoma mara ya kwanza baada ya siku kumi, nilikuta asilimia kama 70% ya Kondoms hazipo, zimechukuliwa
3) DAY 3 of observation: ilikuwa tarehe 28 Aug 2024: Do sikuamini macho yangu box lote la condom lilikuwa tupu, hakuna hata condom moja. yaani ni bozi tu lilikuwa pale kwenye karibu na sinki la maji
Ndugu mwan JF, Sihitaji kukutajia observation ya findings kwani picha hapa chini zinajieleza zenyewe kwa kila tarehe ya observation. Kulikuwa na uchukuaji mkubwa wa Kondoms kwa wafanyakazi, speed ilikuwa kubwa na nzuri, ni balaa na nikiangalia idadi ya wafanyakazi ofisini tuko si chini ya 12, kwa hiyo kati ya box lenye Kondom 100 kwa watu 12 inaonyesha at least kila mtu aliambulia kondom 8-10.
Hitimisho la utafiti wa swali la kwanza ni kwamba sehemu za makazini zinaweza kuwa avenue nzuri ya kusambaza Kondom ,kwani utafiti umeonyesha wafanyakazi ni wazuri kwenye kuchukua Kondoms za kutosha hasa kama zikiwekwa sehemu ambayo imejificha (private).
LIMIATATION OF THE RESEARCH: Ila ninatoa angalizo, hii ilikuwa ni simple time series observation research kujibu suala la uchukuaji , ila hii findings haiwezi kujibu maswali mengine ; kwa mfano matumizi ya Kondoms hizo, je wanapozichukua wanazipeleka wapi? je speed kubwa ya uchukuaji Kondom inamaanisha ndiyo speed kubwa ya matumizi ya Kondom?, pia inawezekana ni kicheche mmoja au wanne tu ndani ya ofisi ndio wanachukua hizi Kondom kila siku, kwa hiyo huwezi kugeneralize uchukuaji Kondoms kwa uwiano kwa wafanyakazi wote. Majibu ya maswali haya yatahitaji utafiti mwingine ambao hata methodology yake itabidi ibadilike either through survey using structure questionnaire au Key informant interview au tailored focus groups.
Hitimisho: sehemu za kazi zinaweza kufaa kutumika kama platform au avenue nzuri ya kugawa na kusambaza Kondom ili kujikinga na ugonjwa wa HIV/AIDS pamoja na STD, Ila utafiti mwingine unahitajika kujibu maswali ya baada ya kuchukua Kondom ni kitu gani kinafuatia (the what next?)View attachment 3091409View attachment 3091410View attachment 3091411.
Je wewe unasemaje kuhusu utafiti huu, njia iliyotumika na uwezo ndogo wa utafiti huu kutojibu maswali ya what next after taking Kondoms?
Wa mama wanafungia nyweleUsiwaze Sana kuhusu matumizi Wanachomoa kile kidude cha juu,wanavaa kama urembo(bangili)
Yaliyonikuta mpaka sasa inasoma hiv+Wananunua ila mkifika chumbani ni mwendo wakuteleza tu unashangaa imekuwakuwaje hamjavaa
Nmeelezea hapo juu kuwawananunua lakini wakifik kitandani wanajitoa ufahamu hawatumiiWanamuuzia nani kama hakuna anaetumia condom siku hizi?
😅😅😅🤣😂Ofisi yenu iko wapi.....
Makazini kuna wake na waume za watu read btn the linesTanzania mapenzi Yako overrated sana
Sasa condom wamechukua wameenda kufanya ngono salama unakuja na utafiti ili iweje!!!