Utafiti wangu mdogo wa Matumizi ya Kondom Makazini: Matokeo yake yanatisha...

Huwa zinakaa mfukoni mkifika gheto inasahulika
Unajua watu wengi hawajui kutafsiri matokeo ya research. Kwa nature ya methodology niliyotumia ni ngumu sana kuconclude /kugeneralize kwa sababu uchukuaji wa Kondom sehemu za kazi umekuwa mkubwa na kwa kasi ya kutisha inamaanisha matumizi ya Kondom yamekuwa makubwa na ya kutisha.

La hasha, nimesema kuweza kuconclude hivyo au kugeneralize hivyo itabidi kufanya utafiti mwingine kwa mfano kufanya interview kwa wachukuajio wa zile Kondom, kujua ni wangapi walizitumia, waliwapatia wenzi wao, marafiki zao, walizitupa, walikaa nazo tu kwa tahadhali na kadhalika.

Kwa hiyo kabla ya kudhalau conclusion yangu eti kama wamechukua unakataaje hawakuzitumia? JF ni ya wasomi basi tuanze/tuendelee kuargue kisomi kama ninavyoona walio wengi, hiki sio kijiwe cha kahawa cha uswahili, kama hujaelewa uliza kwa busara ili ufafanuliwe.
 
Bado swali kinabaki pale pale hao wa maduka ya madawa wanamuuzia nani na ushasema hakuna anaetumia condoms
Hakuna aliyesema watu hawatumii Kondom. Ila utafiti huu umeonyesha uchukuaji wa Kondom hizi sehemu za kazi ni mkubwa, haimaanishi ukubwa huo ndio ukubwa matumizi ya Kondoms.Ingawa matumizi ya Kondom yanaendelea.
 
Unajua watu wengi hawajui kutafsiri matokeo ya research. Kwa nature ya methodology niliyotumia ni ngumu sana kuconclude /kugeneralize kwa sababu uchukuaji wa Kondom sehemu za kazi umekuwa mkubwa na kwa kasi ya kutisha inamaanisha matumizi ya Kondom yamekuwa makubwa na ya kutisha.

La hasha, nimesema kuweza kuconclude hivyo au kugeneralize hivyo itabidi kufanya utafiti mwingine kwa mfano kufanya interview kwa wachukuajio wa zile Kondom, kujua ni wangapi walizitumia, waliwapatia wenzi wao, marafiki zao, walizitupa, walikaa nazo tu kwa tahadhali na kadhalika.

Kwa hiyo kabla ya kudhalau conclusion yangu eti kama wamechukua unakataaje hawakuzitumia? JF ni ya wasomi basi tuanze/tuendelee kuargue kisomi kama ninavyoona walio wengi, hiki sio kijiwe cha kahawa cha uswahili, kama hujaelewa uliza kwa busara ili ufafanuliwe.
Hakuna aliyedharau utafiti wako ila haukufika mwisho,haujatoa majibu,utafiti usio rasmini kuwa,matumizi ya condom yamepungua sana
 
Yaani unaonyesha uwezo mdogo sana kwenye upande wa tafiti, kila tafiti zina objectives na goal, pia zina limitation. Mimi nilitaka kujua je hizo kondom za kazini zinachukuliwa na wafanyakazi au zinatupwa au kuna kitu kingine na je zinachukua muda gani kuisha/kuchukuliwa.

Sikuwa na lengo la kupima matumizi ya Kondom, otherwise hii methodology hisingenipa jibu hilo, na ndio maana nikaliweka hili kama limitation ya approaches yangu. Na nimeeleza kwa kina ni kwa jinsi gani hii methodology yangu haiwezi kunipa majibu ya matumizi ya Kondom kwa kuangalia uchukuaji wa Kondom Kazini. Kama ulishawahi kuandika paper kwenye peer review journals, basi conclusion kama yako inaifanya paper yako iwe rejected totally kwani conclusion itakuwa hahiendani na methodology , sampling na analysis approaches.

Sasa sikia, your conclusion depend on the methods, sample size, selection and identificats , so the analysis approaches. Na ili uweze kugeneralize findings zako au kuinfer findings zako kwenye population au other groups au incidence itategemea na HIVYO VITU TAJWA HAPO JUU; methodolgy uliyotumia, sample size na jinsi ilivypatikana na analysis ilivyofanyika ili kukupamatokeo.

Sasa nenda kapate angalau advanced dose za qualitative and quantitively methods in research, sample size determination, reserach analysis methods and how to control confounders ili uweze kuelewa how those factors affect your conclusion. Husibishe na kuonyesha umbumbu wako ,waelewa wanakucheka tu. Lakini sikushangai ndivyo tulivyowabongo.

Kila kitu kimeelezwa kwenye study, kama ulikuwa angalau na basic knowledge ya research ulitakiwa uelewe straight forward. Ila kama hata basic knowledge huna inawezekana ndio maana unabwabwaja vitu contrary na science za kiutafiti. Na sio wewe peke yako, kuna conclusion nyingi za studies au matukio , zinakufanya ujiulize mara mbili, mbona methodology iliyotumia, sample size na analysis zilizofanyika hazina uwezo au power ya kuconclude mwandishi, au mtoa mada alivyoconclude.

Ni kwa sababu watafiti wengi wanachukua tafsiri zao vichwani na si matokeo ya study kulingana na methods, sample size and identification pamoja na analysis , kwenye analysis naongelea hasa ni kwa jinsi gani huyo mtafiti aliweza kucontrol other factors which might lead into the same results (confounders), hapa naongelea causal association kati ya dependent and independent variables; na hii lazima iwe part of the original design of your study, huezi kucontrol hivi vitu kama hukuvikusanya wakati a study so the study limitations.

Sasa nakuomba share kisa mkasa changu kwa wenzako wanaoelewa mambo ya tafiti, halafu waulize je conclusion yangu ni sahihi na kwa nini sikugeneralize findings kwenda kwa matumizi ya Kondom bali nimeishia kenye uchukuaji wa Kondom na uharaka wa Kondom kuisha.
 
Pia studies nyingi zina phases, kulingana na muda, uwezo na other limitation, hii ni phase one, ila ukitaka kupata majibu ya matumizi then inabidi utengeneze study nyingine, kama nilivyosema kwenye andiko langu. Lakini pia ningekuwa na uwezo ningefanya vyote halafu kwenye analysis nikafanya kitu kinaitwa groupus analysis kwa kila phase na kutoa majibu yanayoendana na findings za kila phase, au kwa kila dependent and independent variables nitakazoamua kuzifanyia indepth analysis.
 
Yaani unaonyesha uwezo mdogo sana kwenye upande wa tafiti, kila tafiti zina objectives na goal, pia zina limitation. Mimi nilitaka kujua je hizo kondom za kazini zinachukuliwa na wafanyakazi au zinatupwa au kuna kitu kingine na je zinachukua muda gani kuisha/kuchukuliwa.

Sikuwa na lengo la kupima matumizi ya Kondom, otherwise hii methodology hisingenipa jibu hilo, na ndio maana nikaliweka hili kama limitation ya approaches yangu. Na nimeeleza kwa kina ni kwa jinsi gani hii methodology yangu haiwezi kunipa majibu ya matumizi ya Kondom kwa kuangalia uchukuaji wa Kondom Kazini. Kama ulishawahi kuandika paper kwenye peer review journals, basi conclusion kama yako inaifanya paper yako iwe rejected totally kwani conclusion itakuwa hahiendani na methodology , sampling na analysis approaches.

Sasa sikia, your conclusion depend on the methods, sample size, selection and identificats , so the analysis approaches. Na ili uweze kugeneralize findings zako au kuinfer findings zako kwenye population au other groups au incidence itategemea na HIVYO VITU TAJWA HAPO JUU; methodolgy uliyotumia, sample size na jinsi ilivypatikana na analysis ilivyofanyika ili kukupamatokeo.

Sasa nenda kapate angalau advanced dose za qualitative and quantitively methods in research, sample size determination, reserach analysis methods and how to control confounders ili uweze kuelewa how those factors affect your conclusion. Husibishe na kuonyesha umbumbu wako ,waelewa wanakucheka tu. Lakini sikushangai ndivyo tulivyowabongo.

Kila kitu kimeelezwa kwenye study, kama ulikuwa angalau na basic knowledge ya research ulitakiwa uelewe straight forward. Ila kama hata basic knowledge huna inawezekana ndio maana unabwabwaja vitu contrary na science za kiutafiti. Na sio wewe peke yako, kuna conclusion nyingi za studies au matukio , zinakufanya ujiulize mara mbili, mbona methodology iliyotumia, sample size na analysis zilizofanyika hazina uwezo au power ya kuconclude mwandishi, au mtoa mada alivyoconclude.

Ni kwa sababu watafiti wengi wanachukua tafsiri zao vichwani na si matokeo ya study kulingana na methods, sample size and identification pamoja na analysis , kwenye analysis naongelea hasa ni kwa jinsi gani huyo mtafiti aliweza kucontrol other factors which might lead into the same results (confounders), hapa naongelea causal association kati ya dependent and independent variables; na hii lazima iwe part of the original design of your study, huezi kucontrol hivi vitu kama hukuvikusanya wakati a study so the study limitations.

Sasa nakuomba share kisa mkasa changu kwa wenzako wanaoelewa mambo ya tafiti, halafu waulize je conclusion yangu ni sahihi na kwa nini sikugeneralize findings kwenda kwa matumizi ya Kondom bali nimeishia kenye uchukuaji wa Kondom na uharaka wa Kondom kuisha.
Sijamaliza kusoma,ila utafiti wako ulikuwa unapoteza muda maada hujagundua kama zinachukuliwa au kutupwa,
 
Soma vizuri conclusion ilikuwa ni uchukuaji wa condom na uharaka, lakini nilikuwa nikiangalia kwenye dustbin na maeneo ya karibu kama zinatupwa kama mojawapo ya njia ya kucontrol hii confounding factor. Na ndio maana nikasema uchukuaji na uharaka, either wakichukua wanazitupa, wanaigawa, wanazitumia, nimesema mwenyewe hiyoi ni mojawapo ya limitation ya hii study yangu. Jamani hujui kusoma, huelewi au unajitoa akili
 
Upo vizuri ila umewasahau wafanya usafi na kama hicho choo hawatumii staff tu ni public toilet kuna watu wa nje na hapo akiwemo customer kuchukua condom

Umri wa wafanya kazi ndani ya ofisi yako ni umri gani?? Na wapo wangapi??

Finding imekaa poa sana speed ya matumizi ya kondom ni mazuri kuepusha
magonjwa ya zinaa lakini vijana tunapiga kavu na kondom ipo mfuko wa nyuma wa suruali
Sawa kabisa nimependa la wafanya usafi, wanaweza wakawa ndio wachukuaji wazuri sisi tukafikir ni wafanyakazi. hii ni mojawapo ya confounders ya kucontrol ili uweze kusema uchukuaji wa kondom kwa wafanyakazi, mwingine alisema wageni kama wanatumia maliwato yaleyale.
 
Ngoja tui break vipande vipande hi:-
1. Wanachukua kwenda kuziuza
2. Hakuna mtu anaetumia condom siku hizi

Umeniacha na maswali hapa mkuu; wanauziwa viumbe wepi? Kama ni watu, wewe mwenyewe umeisha sema, hakuna mtu anaetumia condom siku hizi; wateja hawa wana nunua za nini?🤔
Kumbe ndivyo ilivyo, hakuna anayetumia condom, basi itakuwa hatari sana. Ila hili ni eneo gumu sana kiutafiti kwani linahingilia privacy ya mtu, na kingine ni constant adherence to condom use, wengi leo katumia, kesho kateleza na utelezo n.k.
 
Soma vizuri conclusion ilikuwa ni uchukuaji wa condom na uharaka, lakini nilikuwa nikiangalia kwenye dustbin na maeneo ya karibu kama zinatupwa kama mojawapo ya njia ya kucontrol hii confounding factor. Na ndio maana nikasema uchukuaji na uharaka, either wakichukua wanazitupa, wanaigawa, wanazitumia, nimesema mwenyewe hiyoi ni mojawapo ya limitation ya hii study yangu. Jamani hujui kusoma, huelewi au unajitoa akili
Tatizo ninesona Biostatistics Udsm,mathematics department takribani miaka 20 iliyopita chini ya Dk Mahenge Phd,nimeshasahau
 
Mimi kazini kwangu kila mtu anachukua hiko kiboksi baada ya wiki moja.
 
Mojawapo ya health education na health promotion stretegies dhidi ya kujikinga na ugonjwa sugu na mkali wa HIV/AIDS ni upatikanaji na utoaji wa elimu ya Kondom Makazini; kwani hawa wafanyakazi wanakaa pamoja mda mrefu almost kila weekdays (5 days) na mara nyingine wanasafiri pamoja na kulala hotel moja.

Kwa muda mrefu nimeona kwenye ofisi nyingi nilipofanya kazi Kondom zikiwekwa chooni ila baada ya muda zinapotea huku kwenye pipa la taka sizioni kwamba labda zilitupwa kule. Pia nikataka kujua ni kwa muda gani hilo box zima la kondom linakuwa limeisha au zinachukuliwa na wafanyakazi na je wakizichukua wanazifanyia nini?

Basi mwezi wa nane (Aug 2024) Nikaamua kufanya observation research ya swali langu la kwanza; je wafanyakazi wanachukuaga hizo Kondom na kama ndio kwa speed ipi ya uchukuaji at least kwa mwezi,huku nikitumia time series periodic methodology kama ifuatavyo (Please angalia matokeo kwenye picha chini)

1) DAY 1 of observation: Tarehe 2 Aug 2024, siku box zima lililojaa condom liliwekwa; full package of condoms
2)DAY 2 of observation: tarehe 12 Aug 2023, siku nilipofuatila upunguaji wa Condoma mara ya kwanza baada ya siku kumi, nilikuta asilimia kama 70% ya Kondoms hazipo, zimechukuliwa
3) DAY 3 of observation: ilikuwa tarehe 28 Aug 2024: Do sikuamini macho yangu box lote la condom lilikuwa tupu, hakuna hata condom moja. yaani ni bozi tu lilikuwa pale kwenye karibu na sinki la maji

Ndugu mwan JF, Sihitaji kukutajia observation ya findings kwani picha hapa chini zinajieleza zenyewe kwa kila tarehe ya observation. Kulikuwa na uchukuaji mkubwa wa Kondoms kwa wafanyakazi, speed ilikuwa kubwa na nzuri, ni balaa na nikiangalia idadi ya wafanyakazi ofisini tuko si chini ya 12, kwa hiyo kati ya box lenye Kondom 100 kwa watu 12 inaonyesha at least kila mtu aliambulia kondom 8-10.

Hitimisho la utafiti wa swali la kwanza ni kwamba sehemu za makazini zinaweza kuwa avenue nzuri ya kusambaza Kondom ,kwani utafiti umeonyesha wafanyakazi ni wazuri kwenye kuchukua Kondoms za kutosha hasa kama zikiwekwa sehemu ambayo imejificha (private).

LIMIATATION OF THE RESEARCH: Ila ninatoa angalizo, hii ilikuwa ni simple time series observation research kujibu suala la uchukuaji , ila hii findings haiwezi kujibu maswali mengine ; kwa mfano matumizi ya Kondoms hizo, je wanapozichukua wanazipeleka wapi? je speed kubwa ya uchukuaji Kondom inamaanisha ndiyo speed kubwa ya matumizi ya Kondom?, pia inawezekana ni kicheche mmoja au wanne tu ndani ya ofisi ndio wanachukua hizi Kondom kila siku, kwa hiyo huwezi kugeneralize uchukuaji Kondoms kwa uwiano kwa wafanyakazi wote. Majibu ya maswali haya yatahitaji utafiti mwingine ambao hata methodology yake itabidi ibadilike either through survey using structure questionnaire au Key informant interview au tailored focus groups.

Hitimisho: sehemu za kazi zinaweza kufaa kutumika kama platform au avenue nzuri ya kugawa na kusambaza Kondom ili kujikinga na ugonjwa wa HIV/AIDS pamoja na STD, Ila utafiti mwingine unahitajika kujibu maswali ya baada ya kuchukua Kondom ni kitu gani kinafuatia (the what next?)View attachment 3091409View attachment 3091410View attachment 3091411.

Je wewe unasemaje kuhusu utafiti huu, njia iliyotumika na uwezo ndogo wa utafiti huu kutojibu maswali ya what next after taking Kondoms?
Je, hawachukui kuuza?
 
Kwa Muhindi ukichukua Kondom kuna mahali pakusaini. 😂😂🤣.
Sasa wadau huwa wanawasainisha wajamaa wa usafi.

Nilijaribu kujua siku moja huwa zinaenda wapi, kucheki list naona watu wawili wanajirudia wao wao mara zote, vijana wa Usafi🤣🤣.

Nikawauliza kijanja, kumbe kuna wadau wanawachukulia mule mule. 😂
 
Back
Top Bottom