Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
- #21
Ila mimi sio baharia mkuuHata kikao kilicho pita cha mabaharia tuliazimia kutokutoa siri kwa Ke ikiwemo kipato halisi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila mimi sio baharia mkuuHata kikao kilicho pita cha mabaharia tuliazimia kutokutoa siri kwa Ke ikiwemo kipato halisi
Mapenzi yana nguvu sana siku za mwanzoni my dada...Eeeh me ndo siwezagi kunyamaza nikiwa na mtu nae mpenda na nishajua ananipenda nitahadithia vyote.
Upo kama mimiNa mie mwanaume asiefunguka kwangu mwanzoni hua ananipa ukakasi nahisi hanipendi na mie pia nakua sijiachii kabisa mwisho mahusiano yanakua yamepooza hayana mvuto.
Daaah...Mm cjawah kumpenda mwanamke kwakwel .hata huyu japo nimemuoa ( bt cmchukii pia).
Sawa mkuuTuna deal na mambo ya mcng tuu..story nyngine hizo hatunaga kabisa from day 1. Only serious buznes
[emoji3516]
Basi unaishi maisha magumu sana na hata furaha yako unaitafuta kwa tochi..Pole sana..!
imewahi nitokea na ili niuma hakika yule mwanamke ni myama.
kwa sasa si mwamini mtu yoyote duniani hata wazazi wangu.
That's how human psychology worksKweli kabisa sio wapenzi tuu hata marafiki wa kawaida
Mapenzi huwa moto sana siku za kwanza[emoji3516]
WAPE MWONGOZO MKUU!!!
Daaah hakika ni shiiiiida mkuuHii ni kweli kabisa, jiroge umtajie mtu ex wako atakuwa anatajwa kila unapotokea mkwaruzano kati yenu
aisee...Mwenza inatakiwa akujue kwa kukuchunguza yeye mwenyewe
Mimi kwa mwanamke mwanzoni nakuwa kimya mpaka wenyewe wanakuwa na wasiwasi.aisee...
Shauri yake au shauri yeno wote wawili?Mwenza inatakiwa akujue kwa kukuchunguza yeye mwenyewe, asipoweza shauri yake
Daaah wewe kiboko mkuu. For how long do you remain silent?Mimi kwa mwanamke mwanzoni nakuwa kimya mpaka wenyewe wanakuwa na wasiwasi.