UTAFITI WANGU: Utakachomsimulia mpenzi wako mwanzoni penzi lenu linapokuwa jipya ndio maneno atakayokurushia siku mtakapokwaruzana

Kinaco niokoa mimi ni masihara yangu hata nikitoa siri wakati mwingine wanajua ni masihara hata wakiiitumia kunisema nachekaaa sana kiasi cha kumfanya mhusika kuona ni mwendelezo wa masihara.

Nimewahi kwaruzana na mpz wangu,akataka nijazia nzi vile anapayuka kunisema mimi nashangilia sana hadi alitulia mwenyewe
 
Huu uongo bwashee
 
Sometimes masihara yanasaidia sana...
 
Back
Top Bottom