UTAFITI WANGU: Utakachomsimulia mpenzi wako mwanzoni penzi lenu linapokuwa jipya ndio maneno atakayokurushia siku mtakapokwaruzana

Eeeh me ndo siwezagi kunyamaza nikiwa na mtu nae mpenda na nishajua ananipenda nitahadithia vyote.

Na mie mwanaume asiefunguka kwangu mwanzoni hua ananipa ukakasi nahisi hanipendi na mie pia nakua sijiachii kabisa mwisho mahusiano yanakua yamepooza hayana mvuto.
 
Pole sana..!
imewahi nitokea na ili niuma hakika yule mwanamke ni myama.

kwa sasa si mwamini mtu yoyote duniani hata wazazi wangu.
Basi unaishi maisha magumu sana na hata furaha yako unaitafuta kwa tochi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…