KweliWeka akiba ya maneno... Ipo siku itakusaidia sana
Makubwa!Mm cjawah kumpenda mwanamke kwakwel .hata huyu japo nimemuoa ( bt cmchukii pia). Tuna deal na mambo ya mcng tuu..story nyngine hizo hatunaga kabisa from day 1. Only serious buznes
Miss youHii ni kweli kabisa, jiroge umtajie mtu ex wako atakuwa anatajwa kila unapotokea mkwaruzano kati yenu
Kabisa.Kweli
Huu uongo bwasheeKinaco niokoa mimi ni masihara yangu hata nikitoa siri wakati mwingine wanajua ni masihara hata wakiiitumia kunisema nachekaaa sana kiasi cha kumfanya mhusika kuona ni mwendelezo wa masihara.
Nimewahi kwaruzana na mpz wangu,akataka nijazia nzi vile anapayuka kunisema mimi nashangilia sana hadi alitulia mwenyewe
Sometimes masihara yanasaidia sana...Kinaco niokoa mimi ni masihara yangu hata nikitoa siri wakati mwingine wanajua ni masihara hata wakiiitumia kunisema nachekaaa sana kiasi cha kumfanya mhusika kuona ni mwendelezo wa masihara.
HahahahahaaaaaaMakubwa!
Demu wako huyo?Miss you
Punguza umbea bwana weweDemu wako huyo?
Punguza unafiki Soja. Unacheka nini sasa?Hahahahahaaaaaa
Soja f.a.l.a sana sometimes. Kazi yake kubwa ni kutongoza mademu PM hana jipyaPunguza unafiki Soja. Unacheka nini sasa?
Bila umbea ni ngumu sana kuishi TanzaniaPunguza umbea bwana wewe
Mbona mimi ninaishi Tanzania alafu sio mbeya mbeya?Bila umbea ni ngumu sana kuishi Tanzania
Umbea ni hulka mbaya sana ya wapenda misifa kama wahayaMbona mimi ninaishi Tanzania alafu sio mbeya mbeya?
Shemeji zangu Wahaya sio wambea. Tabia hizo wanazo wajaluoUmbea ni hulka mbaya sana ya wapenda misifa kama wahaya
Sisi wahaya zetu K tu na matokeShemeji zangu Wahaya sio wambea. Tabia hizo wanazo wajaluo
Uko sawa.Pole sana..!
Imewahi nitokea na iliniuma hakika yule mwanamke ni mnyama.
Kwa sasa simwamini mtu yoyote duniani hata wazazi wangu.