Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Very sadthis is me am not happy at all with anything yan nikiwa kazini i wish niquit nikiwa nyumbani i wish nitoke sjui kama ninaenda au ninarudi sjui nataka nini sijui sitaki nini 🥺🥺
Acha kabisa.Nakuunga mkono 100% Sasa unajikuta unakila kitu ila kunaroho flani inakufanya unahishi kwa wasiwasi
Kumbe siko peke yangu..
vichocheo katika kila idara ya mwili wa binadamu hupungua kadiri muda unavyozidi kusonga 🐒Hello!
Hili kila mtu anaweza kulithibitisha kwa kuback up miaka michache nyuma.
Furaha niliyokuwa nayo mwaka 1999 ni kubwa kuliko ya miaka ya 2009, furaha niliyokuwa nayo 2019 si kubwa kama ile niliyokuwa nayo 2009.
Licha ya maisha yangu kuboreka kila mwaka.
Nakiri kuwa maisha ya kulala kwenye mikeka na vitanda vya kamba miaka 20 nyuma yalijaa furaha kuliko sasa ambapo nawaza kupata chochote ninachokihitaji.
Ni mfumo wa uchumi ndio huleta kadhia kwa wanadamu.
Tajiri anahangahika, maskini anahangahika, fukara anahangahika pia.
No rest.
May the Lord give us his graceHuyu ni mimi kabisa,nimepoteza interest ya vitu ambavyo awali nilivipenda.Imefika mahali hata TV sioni channel ya kuangalia.Siyo mtumiaji wa kilevi wala siyo shabiki wa mpira.Mbaya zaidi nimepoteza usingizi,hata nikichelewa kulala ikifika saa 10 usingizi tayari umeisha.Nawaza hali hii itaendelea hadi naingia kaburini! May Lord have mercy on me.
Same 2 me mpaka huwa naulizia jamaa zangu furaha ya maisha ni nini maana mpaka sasa sielewi sielewi [emoji29]this is me am not happy at all with anything yan nikiwa kazini i wish niquit nikiwa nyumbani i wish nitoke sjui kama ninaenda au ninarudi sjui nataka nini sijui sitaki nini [emoji3064][emoji3064]
Ulikua mtoto unahudumiwa kila kitu sasa unasaka tonge mwenyewe furaha lazima itoweke..chapa kazi kwa bidii na ustadi ujenge Taifa lako. Furaha shangwe na mayowe waachie watoto wako ndio mda waoHello!