Utafiti: Watu ulimwenguni kote wanapoteza furaha kadri miaka inavyokwenda

Utafiti: Watu ulimwenguni kote wanapoteza furaha kadri miaka inavyokwenda

Furaha ipo pale pale inategemea na ww unavyojiweka .lifestyle. Kadri umri unavyosoga majukumu yanazidi usipoenda na wakati kulingana na umri wako kamwe huwezi iona furaha....FURAHA JIPE MWENYEWE MWANADAMU HAJAWAHI RIDHIKA MPAKA ANAINGIA KABURINI.
 
Hii hali hata mimi sina raha mara nyingi sijui kwa nini na maisha ya Kati kifupi mazuri mke mzuri michepuko minne mizuri mnoo ila najikuta nakosa raha tu hata sielewi
Demu wangu amenikalia kimya, nikipiga simu hapokei. 😳Hii kitu inanitesa. Nyumbani hapakaliki kwakuwa wao ndio walisababisha nitafute demu. Daah. Sina furaha
 
Mfano mzuri ni sherehe za Christmass. Christmas ya miaka ya nyuma na miaka hii kuadhimisha kwake hakuna furaha. Zamani hadi ofisi za umma zilikuwa na miti ya christmas.
 
Kweli mkuu nothing should owns you and you owns nothing on this world hivyo kama unafanya kazi fanya kwa kiasi kwasababu hata siku usipokuwepo dunia haitasimama usijipe umuhimu wa mtu au kwa kitu chochote wameondoka kina Albert einstein kina Charles Darwin na dunia inaendela na wakirudi watashangaa dunia ilivyoendelea shida tunajipa umuhimu kwa vitu au kwa watu kwamba bila mimi kazi haziendi ofisini bila mimi familia italala njaa nadhani ndio maana tunakosa furaha yaani ukiacha kazi leo au kufukuzwa au kustaafu kesho inatangazwa job vacancy na mke ukiondoka mwingine anakamatia hvyo fanya kila kitu kwa kiasi.
Hii point muhimu mkuu.. Huwa tunajipa nafasi ambazo invisible.. coz hata kabla yako kuwa mahali/ofisi fulani mambo yalienda kama kawaida...
 
Kwa sisi waislam tuafundishwa Mungu ameiweka Furaha sehemu mbili tu.
1:Kumtaja sana Mungu/kuabudu
2:Kuwa na mwanamke mzuri na MWEMA/MCHAMUNGU
Furaha imefichwa sehemu hzo mbili,na hii ni kweli.
Porojo
 
Kwa sisi waislam tuafundishwa Mungu ameiweka Furaha sehemu mbili tu.
1:Kumtaja sana Mungu/kuabudu
2:Kuwa na mwanamke mzuri na MWEMA/MCHAMUNGU
Furaha imefichwa sehemu hzo mbili,na hii ni kweli.
wazee wa mabikila 70
 
Hello!

Hili kila mtu anaweza kulithibitisha kwa kuback up miaka michache nyuma.

Furaha niliyokuwa nayo mwaka 1999 ni kubwa kuliko ya miaka ya 2009, furaha niliyokuwa nayo 2019 si kubwa kama ile niliyokuwa nayo 2009.

Licha ya maisha yangu kuboreka kila mwaka.

Nakiri kuwa maisha ya kulala kwenye mikeka na vitanda vya kamba miaka 20 nyuma yalijaa furaha kuliko sasa ambapo nawaza kupata chochote ninachokihitaji.

Ni mfumo wa uchumi ndio huleta kadhia kwa wanadamu.

Tajiri anahangahika, maskini anahangahika, fukara anahangahika pia.

No rest.
Hii ni sababu maisha ya sasa ni mbio za panya ( Rat race) watu wanakimbizana kununua na kulipa na hawana muda wa kufurahia maisha
 
Back
Top Bottom