Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I think the more we attach our happiness to material things the more unhappy we areHello!
Hili kila mtu anaweza kulithibitisha kwa kuback up miaka michache nyuma.
Furaha niliyokuwa nayo mwaka 1999 ni kubwa kuliko ya miaka ya 2009, furaha niliyokuwa nayo 2019 si kubwa kama ile niliyokuwa nayo 2009.
Licha ya maisha yangu kuboreka kila mwaka.
Nakiri kuwa maisha ya kulala kwenye mikeka na vitanda vya kamba miaka 20 nyuma yalijaa furaha kuliko sasa ambapo nawaza kupata chochote ninachokihitaji.
Ni mfumo wa uchumi ndio huleta kadhia kwa wanadamu.
Tajiri anahangahika, maskini anahangahika, fukara anahangahika pia.
No rest.
That is life we all stop living by the age of 30 and start experiencing life difficulties beyond that age that why if you have a children you have to make they are happy 100% before having those two life obligations these are work and marriage you have to choose your struggle everyone that's alive must face life difficulties don't worry just enjoy. Mungu ameumba kila kitu viwili viwili ameumba mke na mume usiku na mchana jua na mwezi mbingu na ardhi why you want to be 100% all 365 days it's impossible and that is the sweetest things in our life.this is me am not happy at all with anything yan nikiwa kazini i wish niquit nikiwa nyumbani i wish nitoke sjui kama ninaenda au ninarudi sjui nataka nini sijui sitaki nini [emoji3064][emoji3064]
That is the highest level of maturity now you have to accept life difficulties and move onHuyu ni mimi kabisa,nimepoteza interest ya vitu ambavyo awali nilivipenda.Imefika mahali hata TV sioni channel ya kuangalia.Siyo mtumiaji wa kilevi wala siyo shabiki wa mpira.Mbaya zaidi nimepoteza usingizi,hata nikichelewa kulala ikifika saa 10 usingizi tayari umeisha.Nawaza hali hii itaendelea hadi naingia kaburini! May Lord have mercy on me.
Life is a journey of struggle choose your struggle well remember 98% of the people we know in our life comes for reasons 1% for life time 1% for season that's life many people are attached by material things.Same 2 me mpaka huwa naulizia jamaa zangu furaha ya maisha ni nini maana mpaka sasa sielewi sielewi [emoji29]
Nadhani hata yale mawazo ya kwamba ukiwa na mali unawaza ukifilisika au siku ukiwa huna kazi yanatufanya pia tuishi kwa wasi wasi.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mbaya zaidi kila unapozidi kupata mali na furaha nayo inazidi kupungua, uhusiano wako na jamii unapungua, yaani huko tunakoelekea tutakua tunaishi kama maroboti tu.
Kweli mkuu nothing should owns you and you owns nothing on this world hivyo kama unafanya kazi fanya kwa kiasi kwasababu hata siku usipokuwepo dunia haitasimama usijipe umuhimu wa mtu au kwa kitu chochote wameondoka kina Albert einstein kina Charles Darwin na dunia inaendela na wakirudi watashangaa dunia ilivyoendelea shida tunajipa umuhimu kwa vitu au kwa watu kwamba bila mimi kazi haziendi ofisini bila mimi familia italala njaa nadhani ndio maana tunakosa furaha yaani ukiacha kazi leo au kufukuzwa au kustaafu kesho inatangazwa job vacancy na mke ukiondoka mwingine anakamatia hvyo fanya kila kitu kwa kiasi.Ni kweli kabisa, ki ufupi maisha yanapoteza maana siku hadi siku na kila ulichokiona cha maana ukiwa nacho kinapoteza thamani yake moyoni mwako.
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Mhubiri 1I think the more we attach our happiness to material things the more unhappy we are
Sasa hivi kila mtu anataka iPhone nyumba nzuri tv nzuri anataka gari wakati zamani wazazi wetu ilikuwa they fight for two things they fight for survival and sex only.
Ishu ya saikolojia joint positivity clubs.this is me am not happy at all with anything yan nikiwa kazini i wish niquit nikiwa nyumbani i wish nitoke sjui kama ninaenda au ninarudi sjui nataka nini sijui sitaki nini 🥺🥺
True,hii miziki Huwa sisikilizi imejaa negativity nyingi thus mimi si mpenzi WA radio maana nyingi zinalisha watu uchafu hazina vipindi positive zaidi ya kulisha watu miziki hii michafu.Acha kutizama Runinga.
Acha kufanya mitandao ya kijamii kama Chakula .. Reward and punishment..
Acha kifuatilia yasiyo kuhusu /Mambo ambayo huwezi kuyamudu..
Acha kusikiliza nyimbo/ala za music za kileo ..
Choose your sounds wisely .
Ishi kistoa
Tafuta coping mechanism ...
Evolute Psychologically
Mtazamo ujengwa na kile unachoruhusu kuingizwa akiliniMtazamo. Mtazamo .. mtazamo
Furaha haipo kwenye material things huko kuna Raha na sio furaha.Hii hali hata mimi sina raha mara nyingi sijui kwa nini na maisha ya Kati kifupi mazuri mke mzuri michepuko minne mizuri mnoo ila najikuta nakosa raha tu hata sielewi