Utafiti: Watu ulimwenguni kote wanapoteza furaha kadri miaka inavyokwenda

Utafiti: Watu ulimwenguni kote wanapoteza furaha kadri miaka inavyokwenda

That is life we all stop living by the age of 30 and start experiencing life difficulties beyond that age that why if you have a children you have to make they are happy 100% before having those two life obligations these are work and marriage you have to choose your struggle everyone that's alive must face life difficulties don't worry just enjoy. Mungu ameumba kila kitu viwili viwili ameumba mke na mume usiku na mchana jua na mwezi mbingu na ardhi why you want to be 100% all 365 days it's impossible and that is the sweetest things in our life.
exactly, yan naishi ts because i have to
 
this is me am not happy at all with anything yan nikiwa kazini i wish niquit nikiwa nyumbani i wish nitoke sjui kama ninaenda au ninarudi sjui nataka nini sijui sitaki nini 🥺🥺
You need a real stick......I promise you will be ok
 
Hello!

Hili kila mtu anaweza kulithibitisha kwa kuback up miaka michache nyuma.

Furaha niliyokuwa nayo mwaka 1999 ni kubwa kuliko ya miaka ya 2009, furaha niliyokuwa nayo 2019 si kubwa kama ile niliyokuwa nayo 2009.

Licha ya maisha yangu kuboreka kila mwaka.

Nakiri kuwa maisha ya kulala kwenye mikeka na vitanda vya kamba miaka 20 nyuma yalijaa furaha kuliko sasa ambapo nawaza kupata chochote ninachokihitaji.

Ni mfumo wa uchumi ndio huleta kadhia kwa wanadamu.

Tajiri anahangahika, maskini anahangahika, fukara anahangahika pia.

No rest.
Ni aina ya maisha napitia wakuu
 
Matrix system haijawahi kuacha mtu salama , kuna watu wanabenefit na kuneemeka na huu mfumo wa maisha wa kitumwa wa sasa ,ndio hao wanaoitwa (The global 1%) or the Global elites
Waliobaki sisi kajambanani a.k.a the remaining 99% ni kama peasants tu, yaani ni kuzaliwa , kufanya kazi kama slave , kukamuliwa kodi huku ukisubiri kufa
Life cycle ya kishenzi kabisa
Hapo furaha utaipata wapi ?, Ni mateso juu ya mateso
Haya maisha tunayoishi sasa binadamu ni ya kishenzi na hayaendani na nature ya binadamu
Leo hii ukiangalia ni percentage ya watu WA ngapi duniani humu wanakuwa na full independence ya kimaisha ya kuwawezesha kuishi kwa kufanya hobbies zao na kuishi bila stress za kifedha , kiafya nk
Utakuta ni wachache sana na ndio hao global one percent

Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
 
this is me am not happy at all with anything yan nikiwa kazini i wish niquit nikiwa nyumbani i wish nitoke sjui kama ninaenda au ninarudi sjui nataka nini sijui sitaki nini 🥺🥺
Aisee.... Naona tupo wengii!
 
I think the more we attach our happiness to material things the more unhappy we are
Sasa hivi kila mtu anataka iPhone nyumba nzuri tv nzuri anataka gari wakati zamani wazazi wetu ilikuwa they fight for two things they fight for survival and sex only.
That's the point , material things ndio yanatufanya tunapoteza furaha kwa kutoridhika kabisa...Furaha ya kweli ni kama wale wahadzabe wanavyoishi .

Haya mengine kila siku unakuwa na tamaa mpya ,yaani balaa juu ya balaa mpaka kuchoka kabisa.
 
Sometimes ukikaa na kufikiria unaona haimake sense hata binadamu sisi kuexist ni bora tungeperish long time ago kama dynosaurs na species nyingine

Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
Pale ukifikiria kwamba hata ufanyaje utakuja ,ukifika miaka fulani unapoteza nguvu automatically ni balaa ..

Dunia hakuna cha maana zaidi ya kuishi vizuri na watu.
 
Kwa sisi waislam tuafundishwa Mungu ameiweka Furaha sehemu mbili tu.
1:Kumtaja sana Mungu/kuabudu
2:Kuwa na mwanamke mzuri na MWEMA/MCHAMUNGU
Furaha imefichwa sehemu hzo mbili,na hii ni kweli.
Je vip Kwa upande wa wanawake Sasa wao hawaruhusiwe kuwa na furaha?
 
Furaha niliyokuwa nayo mwaka 1999 ni kubwa kuliko ya miaka ya 2009, furaha niliyokuwa nayo 2019 si kubwa kama ile niliyokuwa nayo 2009.
Furaha ni temporary,ila amani moyoni inatakiwa iwe Muda wote,unaweza ukawa huna furaha ila una amani, furaha huletwa kwa juhudi zaidi ,ila amani hutegemea ibada Yako binafsi,watu wanaokuzunguka na tumaini moyoni,

Nchi zenye furaha utakuta Wana utawala mzuri, uchumi wa kawaida na tamaduni nzuri zenye kuathiri hisia za binadamu
 
That's the point , material things ndio yanatufanya tunapoteza furaha kwa kutoridhika kabisa...Furaha ya kweli ni kama wale wahadzabe wanavyoishi .

Haya mengine kila siku unakuwa na tamaa mpya ,yaani balaa juu ya balaa mpaka kuchoka kabisa.
Kweli mkuu
 
Ukiwa mdogo una furaha sana mzazi/mlezi yupo,marafiki wa kweli wapo mnacheza wote,mnaongea,hakuna roho mbaya chuki wivu husda wala unafki,hauwazi kuhusu pesa au namna ya kuipata maana mzazi mlezi yupo,huna expectations nyingi katika maisha chochote utakachopewa nyumbani unaridhika uletewe pilau sawa,upewe ugali mchicha sawa,ule tembele sawa.Haujui matatizo ya dunia kuumwa,kukosa,kutengwa,kukataliwa nk
 
this is me am not happy at all with anything yan nikiwa kazini i wish niquit nikiwa nyumbani i wish nitoke sjui kama ninaenda au ninarudi sjui nataka nini sijui sitaki nini 🥺🥺
Pole sanaa.. Tafuta kitu cha kukuentertain.. mfano: Mimi naenjoy sanaa kuangalia yanga
 
Huyu ni mimi kabisa,nimepoteza interest ya vitu ambavyo awali nilivipenda.Imefika mahali hata TV sioni channel ya kuangalia.Siyo mtumiaji wa kilevi wala siyo shabiki wa mpira.Mbaya zaidi nimepoteza usingizi,hata nikichelewa kulala ikifika saa 10 usingizi tayari umeisha.Nawaza hali hii itaendelea hadi naingia kaburini! May Lord have mercy on me.
Pole sanaa mkuu
 
this is me am not happy at all with anything yan nikiwa kazini i wish niquit nikiwa nyumbani i wish nitoke sjui kama ninaenda au ninarudi sjui nataka nini sijui sitaki nini 🥺🥺
Mama Mwana tulia kwanza kunywa maji alafu tuongee vizuri
 
That's the point , material things ndio yanatufanya tunapoteza furaha kwa kutoridhika kabisa...Furaha ya kweli ni kama wale wahadzabe wanavyoishi .

Haya mengine kila siku unakuwa na tamaa mpya ,yaani balaa juu ya balaa mpaka kuchoka kabisa.
Tumeondoa maana halisi ya maisha, upendo na kujaliana. Tumekuwa watumwa hakuna maisha tena.
Maana ya maisha kula kulala ku socialize na watu wa karibu then kuwa na fraha.
Nyumba, magari yanatuua
 
Back
Top Bottom