Mama Mwana
JF-Expert Member
- Jun 6, 2023
- 2,435
- 7,784
exactly, yan naishi ts because i have toThat is life we all stop living by the age of 30 and start experiencing life difficulties beyond that age that why if you have a children you have to make they are happy 100% before having those two life obligations these are work and marriage you have to choose your struggle everyone that's alive must face life difficulties don't worry just enjoy. Mungu ameumba kila kitu viwili viwili ameumba mke na mume usiku na mchana jua na mwezi mbingu na ardhi why you want to be 100% all 365 days it's impossible and that is the sweetest things in our life.
You need a real stick......I promise you will be okthis is me am not happy at all with anything yan nikiwa kazini i wish niquit nikiwa nyumbani i wish nitoke sjui kama ninaenda au ninarudi sjui nataka nini sijui sitaki nini 🥺🥺
Ni aina ya maisha napitia wakuuHello!
Hili kila mtu anaweza kulithibitisha kwa kuback up miaka michache nyuma.
Furaha niliyokuwa nayo mwaka 1999 ni kubwa kuliko ya miaka ya 2009, furaha niliyokuwa nayo 2019 si kubwa kama ile niliyokuwa nayo 2009.
Licha ya maisha yangu kuboreka kila mwaka.
Nakiri kuwa maisha ya kulala kwenye mikeka na vitanda vya kamba miaka 20 nyuma yalijaa furaha kuliko sasa ambapo nawaza kupata chochote ninachokihitaji.
Ni mfumo wa uchumi ndio huleta kadhia kwa wanadamu.
Tajiri anahangahika, maskini anahangahika, fukara anahangahika pia.
No rest.
Aisee.... Naona tupo wengii!this is me am not happy at all with anything yan nikiwa kazini i wish niquit nikiwa nyumbani i wish nitoke sjui kama ninaenda au ninarudi sjui nataka nini sijui sitaki nini 🥺🥺
That's the point , material things ndio yanatufanya tunapoteza furaha kwa kutoridhika kabisa...Furaha ya kweli ni kama wale wahadzabe wanavyoishi .I think the more we attach our happiness to material things the more unhappy we are
Sasa hivi kila mtu anataka iPhone nyumba nzuri tv nzuri anataka gari wakati zamani wazazi wetu ilikuwa they fight for two things they fight for survival and sex only.
Pale ukifikiria kwamba hata ufanyaje utakuja ,ukifika miaka fulani unapoteza nguvu automatically ni balaa ..Sometimes ukikaa na kufikiria unaona haimake sense hata binadamu sisi kuexist ni bora tungeperish long time ago kama dynosaurs na species nyingine
Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
Je vip Kwa upande wa wanawake Sasa wao hawaruhusiwe kuwa na furaha?Kwa sisi waislam tuafundishwa Mungu ameiweka Furaha sehemu mbili tu.
1:Kumtaja sana Mungu/kuabudu
2:Kuwa na mwanamke mzuri na MWEMA/MCHAMUNGU
Furaha imefichwa sehemu hzo mbili,na hii ni kweli.
Furaha ni temporary,ila amani moyoni inatakiwa iwe Muda wote,unaweza ukawa huna furaha ila una amani, furaha huletwa kwa juhudi zaidi ,ila amani hutegemea ibada Yako binafsi,watu wanaokuzunguka na tumaini moyoni,Furaha niliyokuwa nayo mwaka 1999 ni kubwa kuliko ya miaka ya 2009, furaha niliyokuwa nayo 2019 si kubwa kama ile niliyokuwa nayo 2009.
Aisee.... Naona tupo wengii!
Hii inaitwa disco dancerthis is me am not happy at all with anything yan nikiwa kazini i wish niquit nikiwa nyumbani i wish nitoke sjui kama ninaenda au ninarudi sjui nataka nini sijui sitaki nini 🥺🥺
Kweli mkuuThat's the point , material things ndio yanatufanya tunapoteza furaha kwa kutoridhika kabisa...Furaha ya kweli ni kama wale wahadzabe wanavyoishi .
Haya mengine kila siku unakuwa na tamaa mpya ,yaani balaa juu ya balaa mpaka kuchoka kabisa.
Pole sanaa.. Tafuta kitu cha kukuentertain.. mfano: Mimi naenjoy sanaa kuangalia yangathis is me am not happy at all with anything yan nikiwa kazini i wish niquit nikiwa nyumbani i wish nitoke sjui kama ninaenda au ninarudi sjui nataka nini sijui sitaki nini 🥺🥺
okayPole sanaa.. Tafuta kitu cha kukuentertain.. mfano: Mimi naenjoy sanaa kuangalia yanga
Pole sanaa mkuuHuyu ni mimi kabisa,nimepoteza interest ya vitu ambavyo awali nilivipenda.Imefika mahali hata TV sioni channel ya kuangalia.Siyo mtumiaji wa kilevi wala siyo shabiki wa mpira.Mbaya zaidi nimepoteza usingizi,hata nikichelewa kulala ikifika saa 10 usingizi tayari umeisha.Nawaza hali hii itaendelea hadi naingia kaburini! May Lord have mercy on me.
Mama Mwana tulia kwanza kunywa maji alafu tuongee vizurithis is me am not happy at all with anything yan nikiwa kazini i wish niquit nikiwa nyumbani i wish nitoke sjui kama ninaenda au ninarudi sjui nataka nini sijui sitaki nini 🥺🥺
Tumeondoa maana halisi ya maisha, upendo na kujaliana. Tumekuwa watumwa hakuna maisha tena.That's the point , material things ndio yanatufanya tunapoteza furaha kwa kutoridhika kabisa...Furaha ya kweli ni kama wale wahadzabe wanavyoishi .
Haya mengine kila siku unakuwa na tamaa mpya ,yaani balaa juu ya balaa mpaka kuchoka kabisa.