Utafiti: Watu ulimwenguni kote wanapoteza furaha kadri miaka inavyokwenda

Furaha ipo pale pale inategemea na ww unavyojiweka .lifestyle. Kadri umri unavyosoga majukumu yanazidi usipoenda na wakati kulingana na umri wako kamwe huwezi iona furaha....FURAHA JIPE MWENYEWE MWANADAMU HAJAWAHI RIDHIKA MPAKA ANAINGIA KABURINI.
 
Hii hali hata mimi sina raha mara nyingi sijui kwa nini na maisha ya Kati kifupi mazuri mke mzuri michepuko minne mizuri mnoo ila najikuta nakosa raha tu hata sielewi
Demu wangu amenikalia kimya, nikipiga simu hapokei. 😳Hii kitu inanitesa. Nyumbani hapakaliki kwakuwa wao ndio walisababisha nitafute demu. Daah. Sina furaha
 
Mfano mzuri ni sherehe za Christmass. Christmas ya miaka ya nyuma na miaka hii kuadhimisha kwake hakuna furaha. Zamani hadi ofisi za umma zilikuwa na miti ya christmas.
 
Hii point muhimu mkuu.. Huwa tunajipa nafasi ambazo invisible.. coz hata kabla yako kuwa mahali/ofisi fulani mambo yalienda kama kawaida...
 
Kwa sisi waislam tuafundishwa Mungu ameiweka Furaha sehemu mbili tu.
1:Kumtaja sana Mungu/kuabudu
2:Kuwa na mwanamke mzuri na MWEMA/MCHAMUNGU
Furaha imefichwa sehemu hzo mbili,na hii ni kweli.
Porojo
 
Kwa sisi waislam tuafundishwa Mungu ameiweka Furaha sehemu mbili tu.
1:Kumtaja sana Mungu/kuabudu
2:Kuwa na mwanamke mzuri na MWEMA/MCHAMUNGU
Furaha imefichwa sehemu hzo mbili,na hii ni kweli.
wazee wa mabikila 70
 
Hii ni sababu maisha ya sasa ni mbio za panya ( Rat race) watu wanakimbizana kununua na kulipa na hawana muda wa kufurahia maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…