Haruni Kassian Kadege
Member
- Nov 15, 2023
- 86
- 122
- Thread starter
- #81
Mmmh Tayari Sasa Hakuna namna Nyingine mpaka Nyoka😎👹👹👹👺 Tayari nishakuconnect uko live..!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmh Tayari Sasa Hakuna namna Nyingine mpaka Nyoka😎👹👹👹👺 Tayari nishakuconnect uko live..!!
Ndiyo, usiku anageuka mwanamke mrembo unajipigia..!! 👽Mmmh Tayari Sasa Hakuna namna Nyingine mpaka Nyoka😎
Ebwanaa weeeeh hiyo tamu Sema mpka nijenge kwanza kumbe Upangajini humu watamwuuwa Nyoka Wangu Bure😂Ndiyo, usiku anageuka mwanamke mrembo unajipigia..!! 👽
Kaka kijana anauliza swali la kitoto sana 🤣kwahyo nimemjibu kwa saiz yakeEwe mwanachama wa jobless pro max, mambo gani haya🤣😂
😂😂😂😅Kaka kijana anauliza swali la kitoto sana 🤣kwahyo nimemjibu kwa saiz yake
waache waaminio wapotee, waukose uzima wa milele kwa kumkana yesu bwana na mwokozi.Ukifanya hayo mambo hutoboi miaka 7 duniani
Ebu nipe huo mdinda mdinda jobless mie🤣Mimi sitanii nakupa mdinda dinda muda wote mnara unasoma 6G 😹😹
Hiyo dose nakupa na ya mkeo ili kusiwe na mmoja kusema sijui nimechoka… naye tunampa mnyegera muda wote anataka kulombwa 🤣
Wtfwaache waaminio wapotee, waukose uzima wa milele kwa kumkana yesu bwana na mwokozi.
Ili uvunje chama Cha ma jobless sio??, Bolotoba na makutupora kijana Hana nia njema na sisi 🤣😂Nimechoka Bhna natafuta mtalaamu Saizi nitusue nikuajili Mwanangu
kuna mapepo yanatoa utajiri kama mammon na valak
sema kuyaita ni kazi
unatafuta utajiri na huna uchu wa kujua mambo
kuna vitabu vya uchawi(grimoires) na fani ya mapepo kabisa(demonology) kwa nini usisome?
watafute satanists
mimi ambaye siamini haya mambo nakushinda kwa kuyajua!
Apewa asalii aje kuvunja chama Mh Rais wa majobless promaxIli uvunje chama Cha ma jobless sio??, Bolotoba na makutupora kijana Hana nia njema na sisi 🤣😂
Mwana anataka nayeye awe anaenda nje ya nchi 🤣Ili uvunje chama Cha ma jobless sio??, Bolotoba na makutupora kijana Hana nia njema na sisi 🤣😂
Hujani quote blood 👊Huu uzi wacha niusindikize na ngoma ya Les Wanyika!!
Nimezingua blood.Hujani quote blood 👊
Ok, Namdanganya ? Funguka tujifunze kutoka kwakoAcha kumdanganya
Au unipeleke kule kwa mtaalamu wako 😂😂Nimezingua blood.
Nex time lazima nikuquote.
👍🏾👊🏾✊🏿