Utafutaji wa kiwanja umenifanya nielewe mwanadamu ni hatari sana

Utafutaji wa kiwanja umenifanya nielewe mwanadamu ni hatari sana

Hiyo hati hadi uje uipate umeshaangaika sana.Wizara yenyewe ndiyo inayoendekeza hiyo tabia ya kutapeliana kwasababu wanafanya mambo yanakua magumu kwa wananchi hadi wanafikia hatua yakufanya mambo kienyeji mitaani.
Sahihi hati nimetumia mwaka kufuatlia Ardhu dsm
 
Mimi mwenyewe Mwanasheriaa. Sasa nije kwako kufata nini? Nini nisichokijua kuhusu Conveyance?
Sawa.

Lakini bado unaonekana ww ni Mwanasheria "kanjanja" kwasababu hujui kwamba "you have a duty to accomplish to the general public", ikiwemo hii ya kutoa ushauri bure.

Kama Sheria yako haisaidii wengine basi wewe huna tofauti na 'a mere mechanic'.
 
Rafiki yangu wa damu kabisa anataka mil 6.

Namwambia nimlipe kwa awamu 3,

Kachomoa ye anataka nimpe mil 4.

Cha ajabu hadi leo hajakiuza ananivizia mm tu,,

Viwanja hivi jau kweli.

Nikaamua kununua shamba lakin hivi naambiwa ile ni hifadhi na watu waliojenga wameambiwa wahame,

NIMECHOKA [emoji848]
 
Ogopa sana sehemu ukiona viongozi wa chama kile eee,utapigwa sana
 
Kuna Umuhimu sana wa kuwa na Hati miliki kutoka wizarani kwa kiwanja unacho miliki
Watu wengi wamezoea kununua viwanja kizamani ,ile ya kwenda kwa m/kiti au mjumbe kusainishana haitoshi inabidi watu wajiongeze
.kwa Kila kiwanja unachotaka kununua uhakikishe

Kimepimwa

Kuna ramani ya mipango mji eneo husika

Ikitokea unauziwa na mtu binafsi ni muhimu sana hicho kiwanja kiwe na Hati miliki kutoka wizarani ,kama hakina hiyo aliyekuuzia akupe ushirkiano kufanya mchakato wa Hati miliki ya wizarani

Note:
Ni muhimu sana
Tatizo wizara zetu nazo proces nyingi utafuatilia kama unafuatilia anaeyetembea na mkeo
 
Sawa.

Lakini bado unaonekana ww ni Mwanasheria "kanjanja" kwasababu hujui kwamba "you have a duty to accomplish to the general public", ikiwemo hii ya kutoa ushauri bure.

Kama Sheria yako haisaidii wengine basi wewe huna tofauti na 'a mere mechanic'.
Hayo mawazo yako mgando
 
Hawa madalali wa viwanja wenye kampuni ni matapeli balaa arusha yuko,mbise,kambele na wengineo wanakesi za kutosha mahakamani....mimi viwanja vyangu nanunua kupitia dalali nachunguza kimyakimya nani ndio mmiliki kupitia majirani wa hapo
Kuna kiwanja changu nilikinunua Arusha kwa mlangarini kwa pita reading

Hadi Sasa sijaendeleza ila Kodi natumiwaga na serkali ili nilipie

Sioni kbsa dalili za utapeli
 
Mimi mimeshakuwa dalali kwa miaka mingi najua A to Z kuhusu utapeli wa viwanja kuna mtu apo juu nimemsikia anasema kiwanja kizuri ni kile chenye hati nakupa hii chukua ...ishu ya utapeli wa viwanja mgao unaenda adi wizarani yani utapigwa na hati yako mkononi unayo na cha kufanya huna..
Kivip mkuu?
 
Back
Top Bottom