Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Ndio mkuuserekali ya ccmu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio mkuuserekali ya ccmu?
We ndo umenenaKabisa ni bora ugharamike katika uchunguzi
Umenifanya nicheke kwa sauti mkuu 🤣🤣🤣Watu wa aina mkuu huyo..ukijichanganya John Wick anasubiri.😀😀😀
Ni vyema hivyo mkuu kuliko kwenda kupigwa mijini.Bei ni chini kwa sababu vipo bado porini siku unaenda kukicheki unakutana na ndege kanga poli
Nzuri hii mkuu. Shukrani kwa taarifa.Ni kwamba maeneo hayo thamani ya shamba heka moja ni kati ya laki 5 hadi 1.5milion.
Eka moja ina viwanja zaidi ya kumi ila havizidi 12.
Kwa hiyo, muuzaji ananunua/alinunua eka let say laki 5 na akapima viwanja 10+ vya ukubwa wa 20x20 na anauza Tsh 250,000/=.
Kwa harakaharaka 250,000x10=2,500,000. Kwa hiyo ni biashara yenye faida kwao na ni halisi.
Changamoto ni kwamba pako mbali na mji na kama iwapo mtu una pesa na ukapata muuzaji mwaminifu basi unaweza ukanunua shamba tu ambapo laki 7 unapata heka.
Hapa nipo njiani naenda Vigwaza kuchukua hati ya shamba eka 2 nilinunua milion moja (nilikuwa ninalipia kidogo kidogo laki 2.5 kwa mwezi.
Wezi wapo ila pia wa kweli wapo.
Kumbe watu wema bado mpo nchini japo ni kwa 1/2% tu my sisKabisa ndugu yangu
This is called fallacy of generalization.Akili ya kutafuta viwanja siyo lazima wakili ambaye ni zao la bookish Schools.
Wakili naye anatafuta chakula tena kwa gharama zilizo juu na ufanisi zero
Asante sana mkuuKuna Umuhimu sana wa kuwa na Hati miliki kutoka wizarani kwa kiwanja unacho miliki
Watu wengi wamezoea kununua viwanja kizamani ,ile ya kwenda kwa m/kiti au mjumbe kusainishana haitoshi inabidi watu wajiongeze
.kwa Kila kiwanja unachotaka kununua uhakikishe
Kimepimwa
Kuna ramani ya mipango mji eneo husika
Ikitokea unauziwa na mtu binafsi ni muhimu sana hicho kiwanja kiwe na Hati miliki kutoka wizarani ,kama hakina hiyo aliyekuuzia akupe ushirkiano kufanya mchakato wa Hati miliki ya wizarani
Note:
Ni muhimu sana
Mimi mwenyewe Mwanasheriaa. Sasa nije kwako kufata nini? Nini nisichokijua kuhusu Conveyance?This is called fallacy of generalization.
Tupo Mawakili wadogo, brilliant and hard-working. Tumeandika na machapisho kadhaa ya vitabu na vijarida. Shida yenu mnatega masikio na kukodoa macho kwa hao Mawakili wanaopenda kumulikwa na makamera.
You have proved to be one of those 'wajuaji' ambao mkishapigwa mnakuja kulialia humu.
Nyie ndio ambao joto la mwili likipanda kodogo mnaenda kununua dawa za malaria badala ya kuwaona wataalamu wa afya. Jifunze kuheshimu taaluma za watu, hata hivyo sijamlazimisha mtu kwenda kwa Wakili, nimetoa ushauri tu ili kupunguza vilio vya namna hii vinavyotujazia saver.
Rubbish!
PoaNzuri hii mkuu. Shukrani kwa taarifa.
Naunga mkono hoja boss umeshinda 😀Hii ni nchi ndani ya mkoa we uoni Tabia za Dar si za mikoani.
Kwani huko kinadada wanatembea uçhi Kama Dar,huko kuna fly over,Kuna mwendokasi,Kuna kuku wa kisasa,
At your own risk, msikilize sana mleta mada.Kuna hivi vinavyotangazwa kila kukicha kwenye maredio vinapatikana mlandizi, bagamoyo, sijui kigamboni na inasemwa ni bei ya chini sana, je uhalali wake upo vipi???
Mwenye taarifa au uzoefu na hili atujuze.
Ardhi siyo ya kugombania kakaKumbe watu wema bado mpo nchini japo ni kwa 1/2% tu my sis
🤣🤣We unanitafuta si bure🤒Una roho nzuri sana, sijui nitupe ndoana?
Ni kweli sis maana tumezaliwa tukaikuta, na tukifa tutaiacha.Ardhi siyo ya kugombania kaka
yote hayo hayafui dafu kwa TUMBO..Pesa, Ardhi na Mapenzi.
Hivi ni vitu vilivyo mwaga damu sana, vilivyo karibisha ushetani, vilvyo vunja utu na vilivyo tengeneza uhasama mkubwa sana.
Lakini bado ni vitu vyenye thamani kuliko vitu vyote.
Unapotafuta kiwanja, inabidi uwekeze zaidi katika umakini na upelelezi.
Kuna sehemu nilipata kiwanja, jamaa akawa tayari kuniuzia, lakini kumbe nyuma ya pazia kile kiwanja ni urithi wa watoto wa kaka yake yani baada ya kaka yao kufariki na barua zipo. Yeye akawa amepewa cha nyuma yake ila yeye anang'ang'ania pote.
Kuna sehemu nilipata kiwanja, jamaa akawa ananihakikishia kabisa kuwa hakuna tabu na hadi majirani zake (kabila moja) pale wakawa wanachochea. Lakini kwa bahati nzuri kuna afisa ardhi anaishi pembeni na anamjua mshikaji wangu niliekuwa nae, akatuita pembeni na kuniambia kuwa hapo pana mgogoro jamaa anaekuuzia alinunua kiwanja cha mtu mwingine kwa hio ni kama anataka arushie mtu janga asepe.
Kuna sehemu tena, jamaa ana burgain bei na mimi bei kumbe kiwanja sio chake, ni cha mdogo wake, baadae baada ya kumchimba eti ndio ananiambia sio chake. Kwa hio ina maana bei aliotaka kupatana na mimi ilikuwa kaeka commission yake juu.
KUWENI MAKINI.
Kabis yan maana dunia imekuwa unyama kinomaNimeipenda hii comment yako. Aisee hiyo inaitwa sitaki shari [emoji7][emoji7]
Tumia wanasheri , uongozi wa eneo na mtu kutoka ofisi ya ArdhiPesa, Ardhi na Mapenzi.