Mlolongo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2019
- 3,483
- 6,257
Habari. Bado kiwanja unacho ama umeshauzaM3...40x40...gari zipo kuanzia bugruni, segerea...gomz....etc
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari. Bado kiwanja unacho ama umeshauzaM3...40x40...gari zipo kuanzia bugruni, segerea...gomz....etc
Mikoani nako utapeli upo, yamenikuta ila niliwakomesha!Bora mikoani na Sio Dar
Hati inatolewa na wizara ama manispaa
Tembea UoneHayo mnayoyasema inawezekana ikawa ni kweli ,Lakini sijawahi kuskia mtu akilalamika ametapeliwa kiwanja na ana Hati miliki ya wizara ya hicho kiwanja
Kwa Dunia ya Leo kama hao watu wengekuepo wangesha share experience yao
Kuhusu utoaji wa Hati miliki ya wizara , Mansipaa na halimashauri zinazingatia vitu vingi
Kuna zile cordinate point za beacons ambazo zinazunguka kiwanja ,zile ndo zinatambulisha mipaka halisi ya kiwanja
Ukiachana na hilo kuna hili la kuweka jina la mmliki kwenye ramani ya mipango mji
Kuna swala la Nida
Haya yote yafanyike alafu Bado kiwanja kimoja kitolewe hati tatu kwa wakati mmoja?
Basi tutakua na serikali ya hovyo sana
Me nna amini hilo haliwezi kutokea
Niwape mfano rahisi ,hili sakata linaloendeles kule bagamoyo makurunge baina ya serikali ya Zanzibar na watu walionunua kule , Serikali ya Zanzibar hawakua na Hati miliki ndo maana waliouziwa pale waliweza kufanikisha mpaka mchakato wa Hati miliki kutoka wizarani
Msichukulie mambo kirahisi hvyo
Kama kuna mtu ambaye ameshawai kutapeliwa kiwanja akiwa na Hati miliki ya wizarani aje hapa atupe hicho kisa chake
Sahihi, vinginevyo utakuwa unafanya mambo at your own riskKuna Umuhimu sana wa kuwa na Hati miliki kutoka wizarani kwa kiwanja unacho miliki
Watu wengi wamezoea kununua viwanja kizamani ,ile ya kwenda kwa m/kiti au mjumbe kusainishana haitoshi inabidi watu wajiongeze
.kwa Kila kiwanja unachotaka kununua uhakikishe
Kimepimwa
Kuna ramani ya mipango mji eneo husika
Ikitokea unauziwa na mtu binafsi ni muhimu sana hicho kiwanja kiwe na Hati miliki kutoka wizarani ,kama hakina hiyo aliyekuuzia akupe ushirkiano kufanya mchakato wa Hati miliki ya wizarani
Note:
Ni muhimu sana
Kipo ila nimebadilisha mawazo.....siuzi tena 👍Habari. Bado kiwanja unacho ama umeshauza
IkawajeTembea Uone
Ndugu yangu alitaka eneo na nna rafiki alikua na kiwanja chake mbezi beach upande wa st mary’ tukaenda kulicheki
Alikua hajenda kama mwaka
Unajua kilichochotokea, tumekuta kimejengwa ghorofa nne wapo wanafanya skimming, ujenzi una miez sita mwenyew yupo ulaya huko
Ana hati ya miaka mitano, wakat yule rafik, yake tangu 2005, hizo beacon zinasoma tofauti kidogo yan mbele ya like jiwe la kwanza. Na alokua jiran pale ndo aliuza akahama