Ndio ni mwanaumeHalafu eti huyu dalali mwanamke nasikia ni mwanaume,kuna ukweli kwenye hili?
Nipe mawasiliano yako ninashida naweMimi mwenyewe Mwanasheriaa. Sasa nije kwako kufata nini? Nini nisichokijua kuhusu Conveyance?
Sahihi hati nimetumia mwaka kufuatlia Ardhu dsmHiyo hati hadi uje uipate umeshaangaika sana.Wizara yenyewe ndiyo inayoendekeza hiyo tabia ya kutapeliana kwasababu wanafanya mambo yanakua magumu kwa wananchi hadi wanafikia hatua yakufanya mambo kienyeji mitaani.
Sahihi hati nimetumia mwaka kufuatlia Ardhu dsm
Sawa.Mimi mwenyewe Mwanasheriaa. Sasa nije kwako kufata nini? Nini nisichokijua kuhusu Conveyance?
Hii itakua mkoa wa katavi. Bei gani ukoNjoo nikuuzie zingiziwa
M3...40x40...gari zipo kuanzia bugruni, segerea...gomz....etcHii itakua mkoa wa katavi. Bei gani uko
Watu wa hivi msiwafiche, watajeni wasiendelee kufanya utapeli.Mi nilipigiwa humu humu JF[emoji119]
Ila wee dada Mungu akusaidie
Tatizo wizara zetu nazo proces nyingi utafuatilia kama unafuatilia anaeyetembea na mkeoKuna Umuhimu sana wa kuwa na Hati miliki kutoka wizarani kwa kiwanja unacho miliki
Watu wengi wamezoea kununua viwanja kizamani ,ile ya kwenda kwa m/kiti au mjumbe kusainishana haitoshi inabidi watu wajiongeze
.kwa Kila kiwanja unachotaka kununua uhakikishe
Kimepimwa
Kuna ramani ya mipango mji eneo husika
Ikitokea unauziwa na mtu binafsi ni muhimu sana hicho kiwanja kiwe na Hati miliki kutoka wizarani ,kama hakina hiyo aliyekuuzia akupe ushirkiano kufanya mchakato wa Hati miliki ya wizarani
Note:
Ni muhimu sana
Hayo mawazo yako mgandoSawa.
Lakini bado unaonekana ww ni Mwanasheria "kanjanja" kwasababu hujui kwamba "you have a duty to accomplish to the general public", ikiwemo hii ya kutoa ushauri bure.
Kama Sheria yako haisaidii wengine basi wewe huna tofauti na 'a mere mechanic'.
Kuna kiwanja changu nilikinunua Arusha kwa mlangarini kwa pita readingHawa madalali wa viwanja wenye kampuni ni matapeli balaa arusha yuko,mbise,kambele na wengineo wanakesi za kutosha mahakamani....mimi viwanja vyangu nanunua kupitia dalali nachunguza kimyakimya nani ndio mmiliki kupitia majirani wa hapo
Kivip mkuu?Mimi mimeshakuwa dalali kwa miaka mingi najua A to Z kuhusu utapeli wa viwanja kuna mtu apo juu nimemsikia anasema kiwanja kizuri ni kile chenye hati nakupa hii chukua ...ishu ya utapeli wa viwanja mgao unaenda adi wizarani yani utapigwa na hati yako mkononi unayo na cha kufanya huna..