Jitu la kienyeji
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,445
- 7,987
Mambo ya the richest man in Babylon subiri watakuambia MAISHA hayana formula ni kweli ila yana kanuni.Watu wengi wanafikiri umaskini unatokana na udogo wa mshahara, lakini ukweli mchungu ni kwamba unatokana na mlolongo wa makosa ya kifedha unaoyafanya kila tarehe Mosi. Unapokea fedha, unalipia kila mtu mwingine kwanza, kisha unalia huna akiba pindi mwezi unapoisha.
Kama alivyowahi kusema bilionea na tajiri mzee Warren Buffett: "Usihifadhi kile kilichobaki baada ya kutumia, bali tumia kile kilichobaki baada ya kuhifadhi."
Sentensi hii moja ndiyo siri kuu inayotofautisha watu wanaojenga mafanikio ya kudumu na wale wanaobaki kwenye mtego wa kuishi kwa ajili ya kulipa bili kila mwezi:
Tabia ya kusema utaweka akiba au kuwekeza kile kitakachobaki mwisho wa mwezi ni mtego wa kisaikolojia. Hamna pesa inayowahi kubaki. Saikolojia ya mwanadamu inalazimisha matumizi kuongezeka ili kuenea kwenye kiasi chochote cha fedha kilichopo mkononi. Usipotenga akiba yako sekunde ile ile pesa inapoingia, utajikuta umeinunulia vitu visivyo na msingi, na mwisho wa mwezi utabaki ukiwa huna hata mia.
Mshahara au faida ya biashara ikingia, mtu wa kwanza anayepaswa kulipwa si mwenye nyumba, si duka la nguo, wala si mwenye baa ni baadaye yako. Tenga asilimia 10 hadi 20 ya kipato chako mara moja na uiipeleke kwenye uwekezaji au akaunti ya akiba kabla hujagusa senti moja kwa ajili ya matumizi mengine. Hiyo ndiyo pesa inayokufanyia kazi ya kukununulia uhuru wako wa baadaye.
Watu wengi wanatumia kanuni ya kimasikini: Kipato - Matumizi = Akiba.
Wanaofanikiwa wanatumia kanuni ya kitajiri: Kipato - Akiba = Matumizi.
Ukishaondoa fungu la uwekezaji kwanza, unalazimisha akili yako kuishi na kubana matumizi kwenye kile kiasi kilichobaki, bila kuhatarisha hatima yako ya kifedha.
Mafanikio hayajengwi na kiasi cha fedha unachotengeneza, bali unajengwa na nidhamu ya kiasi unachokilinda. Acha kuilisha dunia nzima huku ukijiacha mwenyewe ukiwa mikono tupu.
Anza kujilipa mwenyewe kwanza kuanzia leo!
natafuta icho kitabu au pdf yake kama unayo ntashukuru mkuu.Mambo ya the richest man in Babylon subiri watakuambia MAISHA hayana formula ni kweli ila yana kanuni.
Watu wengi wanafikiri umaskini unatokana na udogo wa mshahara, lakini ukweli mchungu ni kwamba unatokana na mlolongo wa makosa ya kifedha unaoyafanya kila tarehe Mosi. Unapokea fedha, unalipia kila mtu mwingine kwanza, kisha unalia huna akiba pindi mwezi unapoisha.
Kama alivyowahi kusema bilionea na tajiri mzee Warren Buffett: "Usihifadhi kile kilichobaki baada ya kutumia, bali tumia kile kilichobaki baada ya kuhifadhi."
Sentensi hii moja ndiyo siri kuu inayotofautisha watu wanaojenga mafanikio ya kudumu na wale wanaobaki kwenye mtego wa kuishi kwa ajili ya kulipa bili kila mwezi:
Tabia ya kusema utaweka akiba au kuwekeza kile kitakachobaki mwisho wa mwezi ni mtego wa kisaikolojia. Hamna pesa inayowahi kubaki. Saikolojia ya mwanadamu inalazimisha matumizi kuongezeka ili kuenea kwenye kiasi chochote cha fedha kilichopo mkononi. Usipotenga akiba yako sekunde ile ile pesa inapoingia, utajikuta umeinunulia vitu visivyo na msingi, na mwisho wa mwezi utabaki ukiwa huna hata mia.
Mshahara au faida ya biashara ikingia, mtu wa kwanza anayepaswa kulipwa si mwenye nyumba, si duka la nguo, wala si mwenye baa ni baadaye yako. Tenga asilimia 10 hadi 20 ya kipato chako mara moja na uiipeleke kwenye uwekezaji au akaunti ya akiba kabla hujagusa senti moja kwa ajili ya matumizi mengine. Hiyo ndiyo pesa inayokufanyia kazi ya kukununulia uhuru wako wa baadaye.
Watu wengi wanatumia kanuni ya kimasikini: Kipato - Matumizi = Akiba.
Wanaofanikiwa wanatumia kanuni ya kitajiri: Kipato - Akiba = Matumizi.
Ukishaondoa fungu la uwekezaji kwanza, unalazimisha akili yako kuishi na kubana matumizi kwenye kile kiasi kilichobaki, bila kuhatarisha hatima yako ya kifedha.
Mafanikio hayajengwi na kiasi cha fedha unachotengeneza, bali unajengwa na nidhamu ya kiasi unachokilinda. Acha kuilisha dunia nzima huku ukijiacha mwenyewe ukiwa mikono tupu.
Anza kujilipa mwenyewe kwanza kuanzia leo!
Unanunua "mateso".Watu wengi wanafikiri umaskini unatokana na udogo wa mshahara, lakini ukweli mchungu ni kwamba unatokana na mlolongo wa makosa ya kifedha unaoyafanya kila tarehe Mosi. Unapokea fedha, unalipia kila mtu mwingine kwanza, kisha unalia huna akiba pindi mwezi unapoisha.
Kama alivyowahi kusema bilionea na tajiri mzee Warren Buffett: "Usihifadhi kile kilichobaki baada ya kutumia, bali tumia kile kilichobaki baada ya kuhifadhi."
Sentensi hii moja ndiyo siri kuu inayotofautisha watu wanaojenga mafanikio ya kudumu na wale wanaobaki kwenye mtego wa kuishi kwa ajili ya kulipa bili kila mwezi:
Tabia ya kusema utaweka akiba au kuwekeza kile kitakachobaki mwisho wa mwezi ni mtego wa kisaikolojia. Hamna pesa inayowahi kubaki. Saikolojia ya mwanadamu inalazimisha matumizi kuongezeka ili kuenea kwenye kiasi chochote cha fedha kilichopo mkononi. Usipotenga akiba yako sekunde ile ile pesa inapoingia, utajikuta umeinunulia vitu visivyo na msingi, na mwisho wa mwezi utabaki ukiwa huna hata mia.
Mshahara au faida ya biashara ikingia, mtu wa kwanza anayepaswa kulipwa si mwenye nyumba, si duka la nguo, wala si mwenye baa ni baadaye yako. Tenga asilimia 10 hadi 20 ya kipato chako mara moja na uiipeleke kwenye uwekezaji au akaunti ya akiba kabla hujagusa senti moja kwa ajili ya matumizi mengine. Hiyo ndiyo pesa inayokufanyia kazi ya kukununulia uhuru wako wa baadaye.
Watu wengi wanatumia kanuni ya kimasikini: Kipato - Matumizi = Akiba.
Wanaofanikiwa wanatumia kanuni ya kitajiri: Kipato - Akiba = Matumizi.
Ukishaondoa fungu la uwekezaji kwanza, unalazimisha akili yako kuishi na kubana matumizi kwenye kile kiasi kilichobaki, bila kuhatarisha hatima yako ya kifedha.
Mafanikio hayajengwi na kiasi cha fedha unachotengeneza, bali unajengwa na nidhamu ya kiasi unachokilinda. Acha kuilisha dunia nzima huku ukijiacha mwenyewe ukiwa mikono tupu.
Anza kujilipa mwenyewe kwanza kuanzia leo!
Nina hardcopynatafuta icho kitabu au pdf yake kama unayo ntashukuru mkuu.
Upo sahihi, maana maskini uwa wanajifariji kupitia maneno hayo.Unanunua "mateso".
Rudia tena mkuuUpo sahihi
Unaweza ukawa sahihi mkuu Lakini mara nyingi ukiwa na kinachozidi na matumizi yanakuwa makubwa nidhamu inapotea kwahiyo hoja yangu bado Ina logic bila kujali nukuu ya Warren Buffett.Mkuu,
Ukisema "Usihifadhi kile kilichobaki baada ya kutumia, bali tumia kile kilichobaki baada ya kuhifadhi." una assume kwamba kuna kinachobaki katika matumizi.
Hii ni kauli ya mtu anayeweza kuwa na kinachobaki baada ya matumizi, anayefikiria kila mtu anacho cha kuhifadhi baada ya natunizi.
Ni kauki ya entitlement.
Unakariri maneno umya Warren Buffet Mmarekani bila kujua wenzako wana pesa za tangu enzi za utumwa huko.
Umaskini ni USENGE...Rudia tena mkuu
Hoja yako inatakiwa kupigiwa mstari hapo kwenye neno "ukiwa".Unaweza ukawa sahihi mkuu Lakini mara nyingi ukiwa na kinachozidi na matumizi yanakuwa makubwa nidhamu inapotea kwahiyo hoja yangu bado Ina logic bila kujali nukuu ya Warren Buffett.
Wana pesa tangu enzi za utumwa wao??Mkuu,
Ukisema "Usihifadhi kile kilichobaki baada ya kutumia, bali tumia kile kilichobaki baada ya kuhifadhi." una assume kwamba kuna kinachobaki katika matumizi.
Hii ni kauli ya mtu anayeweza kuwa na kinachobaki baada ya matumizi, anayefikiria kila mtu anacho cha kuhifadhi baada ya natunizi.
Ni kauki ya entitlement.
Unakariri maneno umya Warren Buffet Mmarekani bila kujua wenzako wana pesa za tangu enzi za utumwa huko.
Nawakumbusha Waafrika wanaotumia sana maneno ya matajiri wa Kimarekani, ambao wameishi maisha tofauti sana na Waafrika, kuwa hao matajiri wa Kimarekani sio wenzao, wengine ukichunguza utajiri wao, unakuta umetokea mbali tangu kwenye biashara ya utumwa.Wana pesa tangu enzi za utumwa wao??
HakikaNawakumbusha Waafrika wanaotumia sana maneno ya matajiri wa Kimarekani, ambao wameishi maisha tofauti sana na Waafrika, kuwa hao matajiri wa Kimarekani sio wenzao, wengine ukichunguza utajiri wao, unakuta umetokea mbali tangu kwenye biashara ya utumwa.
Kwa hiyo, unapochukua maneno ambayo pengine Mmarekani kayatoa kwa hadhira ya Wamarekani wenzake wenye historia kama yake yeye, ni muhimu kuelewa muktadha mkubwa, usije kujikuta wewe Mmasai utajiri wenu ng'ombe, unaiga maisha ya Warren Buffet utajiri wake upo kwenye stock market na una historia ndefu mpaka kwenye enzi za utumwa huko, bila kuweka muktadha huo sawa.