Huku kwenye kulaumu watu hawana nidhamu utawaonea wengi tu.Hoja yako inatakiwa kupigiwa mstari hapo kwenye neno "ukiwa".
Ama sivyo unaweza kuingia kwenye mtego, mtu hana hata ugali kidogo ukamwambia kama hana ugali basi ale pilau. Wakati yeye anaposema hana hata ugali maana yake pilau hawezi kuimudu.
Kuna watu wengi hata wakiwa na nidhamu, waka save 100% ya wanachopata, waka invest, hiyo pesa bado ni ndogo tu wakipata dharula moja tu ya afya inamalizika.
Kwa hiyo hapo mambo mengine watu wanashindwa si kwa sababu ya kukosa nidhamu wao binafsi.
Wanashindwa kwa mifumo kutokuwa mizuri, uchumi kukosa uthabiti. Jamii kukosa safety net hata kwenye mambo kama afya.
Mtu anakuwa na nidhamu ya ku save kwa miezi sita, halafu anafukuzwa kazi kwa sababu za nje ya uwezo wake za uchuni qa nchi. Sasa hapo nidhamu ya ku save itamsaidiaje awndelee ku save?
Haya mambo ukitaka kuyatatua ni muhimu ku addeess matatizo ya kimfumo kwanza.
Huku kwenye kulaumu watu hawana nidhamu utawaonea wengi tu.
Kwa sababu nidhamu ya kutumia inataka uwe nazo za kutumia kwanza.
Sasa mtu ambaye hana za kutumia, ambao ndio wengi hao Tanzania, nidhamu ya kutumia itamsaidia nini?
Kuna Mmarekani mmoja anaitwa Andrew Tate, ni jamaa mmoja mkorofi mkorofi sana. Sikubaliani naye mambo mengi.Huku kwenye kulaumu watu hawana nidhamu utawaonea wengi tu.
😂😂😂
natafuta icho kitabu au pdf yake kama unayo ntashukuru mkuu.
Shukrani sana samahani unayo na English version yake kama hutojali.Nina hardcopy
Nina hardcopy
siri ipo kwenye mifumo tokea unapozaliwa, makuzi yako, mindset za watu waliokuzunguka katika ukuaji wako wote huwa zina athari kubwa sana ktk ku shape future yako na yupo sahihi kulingana na maelezo hayo uliyotoaKuna Mmarekani mmoja anaitwa Andrew Tate, ni jamaa mmoja mkorofi mkorofi sana. Sikubaliani naye mambo mengi.
Lakini kuna siku alisema anaweza kumlaumu mtu aliyezaliwa Marekani na kuwa masikini, lakini hawezi kumlaumu mtu aliyezaliwa Tanzania na kuwa masikini 😂😂😂
Yani kwamba kuna nchi nyingine ukizaliwa huko tu, nafasi ya kuwa masikini inakuwa kubwa sana mpaka kukulaumu wewe binafsi inakuwa ni makosa, inaonekana kuna nafasi kubwa sana umekuwa masikini kwa sababu umezaliwa kwenye hiyo nchi tu .