Utajiri hauwezi kununua furaha je umaskini unanunua nini?

Huku kwenye kulaumu watu hawana nidhamu utawaonea wengi tu.

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huku kwenye kulaumu watu hawana nidhamu utawaonea wengi tu.

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kuna Mmarekani mmoja anaitwa Andrew Tate, ni jamaa mmoja mkorofi mkorofi sana. Sikubaliani naye mambo mengi.

Lakini kuna siku alisema anaweza kumlaumu mtu aliyezaliwa Marekani na kuwa masikini, lakini hawezi kumlaumu mtu aliyezaliwa Tanzania na kuwa masikini πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Yani kwamba kuna nchi nyingine ukizaliwa huko tu, nafasi ya kuwa masikini inakuwa kubwa sana mpaka kukulaumu wewe binafsi inakuwa ni makosa, inaonekana kuna nafasi kubwa sana umekuwa masikini kwa sababu umezaliwa kwenye hiyo nchi tu .
 
Nina hardcopy
siri ipo kwenye mifumo tokea unapozaliwa, makuzi yako, mindset za watu waliokuzunguka katika ukuaji wako wote huwa zina athari kubwa sana ktk ku shape future yako na yupo sahihi kulingana na maelezo hayo uliyotoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…